Ha ha ha ha nasikia pia jamaa ni kutoka visiwa vya marashi ya KarafuuHa ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia
Ha ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia
NAZIONA BAYANA NGUVU ZA GIZA:nimekataa
Tayari mimi nimeshainunua, Bf wangu akae mkao wa kutegeka.si mchezo, Boflo nauliza hivi, mbona kila siku tunasikia kuwa wanawake tu ndio wamewekewa hizo tego na waume zao, hiyo yako vipi?, mwanamke anaweza kumwekea mume wake TEGO au hiyo dawa ni mfumo JIKE tu
Ha ha haa.......nasikia yule wa jana alinasa kunako 0713...for the first time TEGO kuwekwa huko.....na mume alimtahadharisha mke kuwa ametega yeye akajihami kwa kutoa 0713.......kumbe nayo imetegwa pia
Tayari mimi nimeshainunua, Bf wangu akae mkao wa kutegeka.
Kuliko kuwekeana tego la kunasana na kuaibishana (maana wote mwenye mke/mume aliyenaswa na hao walionaswa wote mnaaibika), kwa nini wasimodify hiyo dawa ili wale walio kwenye ndoa au mahusiano yanayotambulika kindugu au kufamilia au kwa namna yeyote ya wazi wadhibitiwe vifaa vyao visiweze kufanya kazi nje ya ndoa/mahusiano? Hakuna utundu wa namna hii kuliko utaratibu huu wa kutiana aibu?
Hamuoni kuwa ikiwa hivi dhana ya usaliti wa ndoa itatoweke kabisa? Migogoro ya mahusiano na mapenzi na kufumaniana hayatakuwapo tena na familia zitaishi kwa amani na upendo? Najaribu kufikiria kipuuuzi tu yaani tukifika huko hata jukwaa la MMU linawezwa kufungwa maana kutakuwa hakuna mambo ya kujadiliana? Naifikiria jinsi dunia itakavyokuwa na amani, Lol! nivea, Kaunga, snowhite, SnowBall na wengineo mnalionaje hili?
Wallah nikiipata hiyo ya kumfanya akienda kungine isidise nitatoa hata 10mil. Boflo fanyia utafiti hiyo aliyopropose HorsePower uone utakavyotajirika! LOL
kweli binafsi ningefurahi sana huku kunasana ni aibu kwa sana jamani lolKuliko kuwekeana tego la kunasana na kuaibishana (maana wote mwenye mke/mume aliyenaswa na hao walionaswa wote mnaaibika), kwa nini wasimodify hiyo dawa ili wale walio kwenye ndoa au mahusiano yanayotambulika kindugu au kufamilia au kwa namna yeyote ya wazi wadhibitiwe vifaa vyao visiweze kufanya kazi nje ya ndoa/mahusiano? Hakuna utundu wa namna hii kuliko utaratibu huu wa kutiana aibu?