Mapenzi hayana umri nani anabisha?

Mapenzi hayana umri nani anabisha?

Babu Wa Watu Kafa Kaoza Kwa Mtoto Huyu Sister Du,anamwambia Anampenda Vibaya Mno Yupo Tayari Kumpa Chochote Ili Mladi Awe Naye Basi Mtoto Kalainika Kama Big G Vile Kweli Uzee Mwisho Chalinzeeee

Sista: Ki umri we si babu yangu jmani.
Babu: Haya mambo yanazungumzika, kwa kuanza huo mjengo nyuma toka leo ni wako.
The rest is history.
 
Last edited by a moderator:
mapenzi hayana umri sawa ila wapenzi wana umri
 
huu uongo kwa jinsi babu alivyo sio rahis kupata papuchii mbona mchafu

mappenzi hayana umri ila usafi...afya ...pesa....physical apparance muhimu
 
Watu kwa wivu khaaa!!!!!, mwacheni babu apunguze kasi ya kisukari. safi sana babu hapo hata kufa utachelewa.
 
Mnawalia Hela Pasipokutokwa Na Jasho Ndo Maana Unamsapoti Eeeeenhee?

Hawa watu siri nzito...
Kwanza hakuna purukushani katika kugegedana, yeye pesa hafichi ukiomba unaambiwa chukua sehemu furani, au chukua ATM yangu katoe, au njoo sehemu fulani unapewa, lakini pia hawana mambo ya kufuatilia fuatiliana, mara baby uko wapiii???? hakuna hiyo, yeye akikupigia sim ujue lazima anataka mtoke au ulimwomba hela anataka kukutumia, vile vile hujali sana future ya mwanamke, siku zote huangalia namna ya kukutoa kimaisha sio viserengeti nyie kazi kugandana kama urimbo khaaa!!! hela yenyewe ya mawazo yaani ni shida juu ya shida.
 
Ha Ha Ha We Mtoto Una Mambo Sana Kwa Hiyo Mimi Huwezi Ukanifit Na Unajuaje Kuwa Damu Inayochemka Tunahela Za Mawazo
 
Ha Ha Ha We Mtoto Una Mambo Sana Kwa Hiyo Mimi Huwezi Ukanifit Na Unajuaje Kuwa Damu Inayochemka Tunahela Za Mawazo

Mi hela za mawazo za nini????, mambo yakuamka asubuhi tumenuniana yanini mie, Alafu wew dam inachemka, unataka libeneke la nguvu, binti wa watu nijitumeeeee huku ukitoka hapo njaa, kuchoka hata gland malta ya mawazo khaaa!!! babu pesa mbaya alafu anagusagusa tu tena kwa wiki mara mara moko. ha ha ha haaaaa!!!!!!!
 
Lakini kweli kuna wakati mapenzi huwa hayachagui
 
Daaah! Hawa wazee watakuwa wanataka kuwaua dada zetu
 
mi hela za mawazo za nini????, mambo yakuamka asubuhi tumenuniana yanini mie, alafu wew dam inachemka, unataka libeneke la nguvu, binti wa watu nijitumeeeee huku ukitoka hapo njaa, kuchoka hata gland malta ya mawazo khaaa!!! Babu pesa mbaya alafu anagusagusa tu tena kwa wiki mara mara moko. Ha ha ha haaaaa!!!!!!!

kwangu mie vyote vinapatikana kwakuwa siyo mchoyo kwa viumbe nyie
 
hayana umri ila mmmh mtu mwingine ukimuangalia unawaza je akifia kifuani
mtu mzeee duh
 
Back
Top Bottom