Mapenzi hayana umri nani anabisha?

Mapenzi hayana umri nani anabisha?

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,590
Babu Wa Watu Kafa Kaoza Kwa Mtoto Huyu Sister Du,anamwambia Anampenda Vibaya Mno Yupo Tayari Kumpa Chochote Ili Mladi Awe Naye Basi Mtoto Kalainika Kama Big G Vile Kweli Uzee Mwisho Chalinzeeee
 

Attachments

  • Hakuna Umri.jpg
    Hakuna Umri.jpg
    15.5 KB · Views: 1,228
Last edited by a moderator:
anajitia aibu tu hapo huyo mzee na binti naye mchunaji tu hapo hakuna cha mapenzi wala nini!!!!!!!!!!!
 
Babu Wa Watu Kafa Kaoza Kwa Mtoto Huyu Sister Du Je Una La Kuzungumza Hapo?




Acheni uwongo jamani. Huyu Mze namfahamu, ni mkali sana kwa huyu binti yake maana hapendi kuona anatongozwa na mtu yeyote.
 
Wanaigiza tu, otherwise huyo babu ni ana Tegeta escrow.
 
Huyu babu alikua wapi wenzie walivyokua wanafanya balaa lao utoto,yeye analifanya uzeeni anataka kutolewa roho? chezea Michezo ya watoto wa mjini ataitwa Baby na mvi zake..........
 
Huyu babu alikua wapi wenzie walivyokua wanafanya balaa lao utoto,yeye analifanya uzeeni anataka kutolewa roho? chezea Michezo ya watoto wa mjini ataitwa Baby na mvi zake..........

Hawachelewi Kufa Kwa Wivu Hao
 
Jamani mgeweka na maneno wanayizungumza ingekuwa vzr kuliko kihis
 
Back
Top Bottom