Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,391
- 96,712
Shetani kashapotezwa na kimbunga cha Kenneth.... alijifanya mjanja kutounga mkono juhudi za serikali ya awamu dala.Hahahaaaa ngoja siku moja babu akutandike dhoruba moja ya tsunami.
Ila nyie upendo wenu ni wa agape maana hata shetani anaogopa kutia mguu wake.