Mapenzi hayachagui status

Mapenzi hayachagui status

Mwanaume anaangalia physical attractiveness,asikuambie mtu huyo dada atakuwa 'attractive' sio sala,

Mwanamke anaangalia pesa for security na intelligence

ni nature inaamua hivyo,lol

nimeipenda hii story,

wife a stick to her duties as a wife,

napo ni kuwa msaidizi

imeandikwa mke atamlinda mumewe kwa sala,lol ndio message ya leo,HAPPY WOMEN S'DAY to ALL JF women.

Mimi ni Mwanaume lakini wakati namchagua huyu niliyemuoa nilivutiwa na 1.mke wangu ni mtu wa dini sana
2.mke wangu ni msomi na mchapakazi
3.nilivutiwa na wazazi wake maana nilijua nikimuoa huyu na wazazi wake ndio wangekuwa wazazi wangu automatically. Kama wazazi wake wangekuwa watoto wa mjini, ningempotezea
4.mke wangu ana uzuri wa kawaida tena sana
N.B:kabla ya kuoa nimetembea na kila aina ya warembo ambao mke Wangu niliyemuoa ameachwa mbali sana kwa uzuri na hata yeye anawajua na anawakubali.
 
Ni kweli mkuu uzuri na mke si sura ni tabia wahenga walisema.
 
Back
Top Bottom