Mapenzi haya wakati mwingine ni kujitesa tu

Ndo maana ktk maisha yangu huwa nadate na rika langu, ili niwe huru, tena venyee napendaa uhuru na nafasi, walionizidi au niliowazidi, wanipisheeeee tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mpango mzima aisee😘😘
 
Mimi.naamini katika uvaaji vaa nguo ambazo.zimakufanya comfortable na wewe MWENYEWE ndio una hisi umependeza kuliko kuvaa aina Fulani ya nguo SABABU ya fashion Mimi SIJAWAHI kwenda na fashion ila navaa nguo ambayo Niko comfortable nayo ata ma designer wanaelewa ilo
Yeah ni kweli
 
Moja Kati ya vitu ambavyo kamwe sitokuja kuvifanya Ni kujaribu kuyaingilia na kuyaelewa maisha ya watu wengine.
 
Hao ni vijana wa mkoa gani mkuu unaowaona? Nilikuwa dar mwezi fulani hotel niliyofikia nikaenda restaurant ya hotel kula!!!!

Aisee nilikuta bonge la bibi wa kizungu na kijana mdogo sana mpaka yule dogo alikuwa kama ana aibu ivi!!! Na muhaho nilioupata ni pale bibi anazama anatoa kibunda analipa bill then wakapanda juu room!!! Usiku natoka niingie mitaa ya sinza nikale nakutana na wao wanatoka nikajua room yao na yangu zinatazamana!!!

Sasa ile night kali bibi alikuwa anapelekewa moto sio poa yani sio poa zile kelele sijui alikuwa anamfanya nini bibi wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Lakini dogo alivaa vizuri tu sio pepee kalee[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaweza jiuliza kwani hao wadada mabinti wakivaa vitenge mashaalah mtoa mada wetu huyu single mother wetu wa watoto 4 kila mmoja na baba yake kwamba inamuuma nini na jibu usipate.

Wanawake wenye miaka 30 plus na hawajaolewa (kundi hili wamejaa jf) hua wanapenda kuwalisha sumu wanawake wengine ili waone ndoa ni mzigo waachane na ndoa wawe kama wao.

Sumu wanayotoa ni kutokana na uchungu walionao wa kukosa ndoa wanaamua kumwaga sumu wote wakose

Ujuaji mwingiii ila kule love connect utawakuta "Natafuta mume, upweke unanitesa" qmmae WTF
 
[emoji855][emoji855][emoji57]
 
Unakuta msichana mdogo tu kavaa kitenge, kanga, gauni bwanga kama anazuia mimba isionekane, yaan hivyo vyote kavaa kwa pamoja na remba kichwani na yeboyebo au skuna. Ukiuliza unaambiwa ndo vaa yake tangu aolewe na yule mbaba. Yaani kujivika kote huko manguo ili aonekane MTU mzima na kupunguza aibu za kuongozana na huyo waliyezidiana 25 yrs.

Mmama nae na 45 yake kavaa kimini kimembana mpaka unatamani umtafutie oxyg aongezewe hewa apumue vyema, na kitop cha haja apo tumbo limezidi nguo ivo laning'inia na mchuchumio juu, na tinted kabisa kisa tu afanane kidogo muonekano na huyo 21 boy wake.

Kijana mkaka sasa, ndo tobaa, hiyo suruali ya kitambaa ukubwa wake ule mfuko wa mashineni unauhafadhali, shati pepe kale akabane kwa Fundi, viatu vimempwaya ili tu afanane muonekano na 56 mom wake.

Siteseki ila naona mnateseka kujinyima uhuru. Ukiamua kudate na mliyezidiana kimwonekano embu baki kwenye umri wako, la sivyo tutafute size zetu aisee.
Kijana mkaka sasa, ndo tobaa, hiyo suruali ya kitambaa ukubwa wake ule mfuko wa mashineni unauhafadhali, shati pepe kale .
To yeye , Sasa tufanyaje Sisi Vijana / Wakaka ??? 🤣🤣🤣
 
Usutupangie Duniani hatufanani ishi maisha Yako ACHA kufuatilia yasiyokuhusu huwezi kubadilisha Dunia Kwa mawazo Yako .
 
Kijana mkaka sasa, ndo tobaa, hiyo suruali ya kitambaa ukubwa wake ule mfuko wa mashineni unauhafadhali, shati pepe kale .
To yeye , Sasa tufanyaje Sisi Vijana / Wakaka ??? 🤣🤣🤣
Jipendeni tu kwa kweli😜
 
Ukifua ukanyosha...hakuna shida
Hahahahaha nazingua My Dear your Brother najua kupangilia Viwalo bhana 😂😂😂😂
Siku moja tutaji 🤳 halafu tutajipost JF snaptika 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom