Mapenzi haya wakati mwingine ni kujitesa tu

Unakuta msichana mdogo tu kavaa kitenge, kanga, gauni bwanga kama anazuia mimba isionekane, yaan hivyo vyote kavaa kwa pamoja na remba kichwani na yeboyebo au skuna. Ukiuliza unaambiwa ndo vaa yake tangu aolewe na yule mbaba. Yaani kujivika kote huko manguo ili aonekane MTU mzima na kupunguza aibu za kuongozana na huyo waliyezidiana 25 yrs.

Mmama nae na 45 yake kavaa kimini kimembana mpaka unatamani umtafutie oxyg aongezewe hewa apumue vyema, na kitop cha haja apo tumbo limezidi nguo ivo laning'inia na mchuchumio juu, na tinted kabisa kisa tu afanane kidogo muonekano na huyo 21 boy wake.

Kijana mkaka sasa, ndo tobaa, hiyo suruali ya kitambaa ukubwa wake ule mfuko wa mashineni unauhafadhali, shati pepe kale akabane kwa Fundi, viatu vimempwaya ili tu afanane muonekano na 56 mom wake.

Siteseki ila naona mnateseka kujinyima uhuru. Ukiamua kudate na mliyezidiana kimwonekano embu baki kwenye umri wako, la sivyo tutafute size zetu aisee.
Kwani wao wenyewe wanasemaje kipenz?
 
I

Hahaha dada bana🤣🤣🤣🤣
 
Siteseki ila naona mnateseka kujinyima uhuru. Ukiamua
Bila picha mkuu..! af mbona mm haya sijawah kuyaona au ntakuwa naishi interior sana....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulikutana na anaejitambua

Yeah ile yule dogo anaonekana alikuwa ana mbato haswa yule bibi wa kizungu! Maana bibi kelele haswa...!

Ila dogo alivaa fresh bibi alivaa pensi ya jinsi alafu fresh ila kijana ana moyo haswa kwa yule mzee bibi
 
Vijana wanatafuta Maisha kwahiyo Wana kaza Tu kibingwa
 
Unakuta msichana mdogo tu kavaa kitenge, kanga, gauni bwanga kama anazuia mimba isionekane, yaan hivyo vyote kavaa kwa pamoja na remba kichwani na yeboyebo au skuna. Ukiuliza unaambiwa ndo vaa yake tangu aolewe na yule mbaba. Yaani kujivika kote huko manguo ili aonekane MTU mzima na kupunguza aibu za kuongozana na huyo waliyezidiana 25 yrs.

Mmama nae na 45 yake kavaa kimini kimembana mpaka unatamani umtafutie oxyg aongezewe hewa apumue vyema, na kitop cha haja apo tumbo limezidi nguo ivo laning'inia na mchuchumio juu, na tinted kabisa kisa tu afanane kidogo muonekano na huyo 21 boy wake.

Kijana mkaka sasa, ndo tobaa, hiyo suruali ya kitambaa ukubwa wake ule mfuko wa mashineni unauhafadhali, shati pepe kale akabane kwa Fundi, viatu vimempwaya ili tu afanane muonekano na 56 mom wake.

Siteseki ila naona mnateseka kujinyima uhuru. Ukiamua kudate na mliyezidiana kimwonekano embu baki kwenye umri wako, la sivyo tutafute size zetu aisee.
Kuna mama mmoja nilimuona 40/40 Tabata kashuka kwenye gari lake .Mama ana shape, kala tight, kitopi, shingo kuna cheni kama tatu na hana habari wala nini.
 
Kaz kwako unaemwangalia😂🙉
 
Hivi mzee Mengi alikuwa anaenjoy sana. Mambo ya BJ yakihusika eeh, na kuzama kabisa? Manake toto la umri huu bila kulizamia uvinza utakuwa umevunja sheria za nchi kabisa🤣
Klyn mrembo sana kwa kweli...
 
Yeah ile yule dogo anaonekana alikuwa ana mbato haswa yule bibi wa kizungu! Maana bibi kelele haswa...!

Ila dogo alivaa fresh bibi alivaa pensi ya jinsi alafu fresh ila kijana ana moyo haswa kwa yule mzee bibi
😂😂😂😂🙉
 
Back
Top Bottom