Eti niache kuvaa kimini❤umenena cute
[emoji23]mambo?
Si ndio hapo sasahahahah watu wanadate wababa na vitoto sioo 😂😂
No matter how old he is
As long as tunadate
Navaa nivaavyo siku zote
Cha nini kujizeesha na milemba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa hadi machoziiiii.Hao ni vijana wa mkoa gani mkuu unaowaona? Nilikuwa dar mwezi fulani hotel niliyofikia nikaenda restaurant ya hotel kula!!!!
Aisee nilikuta bonge la bibi wa kizungu na kijana mdogo sana mpaka yule dogo alikuwa kama ana aibu ivi!!! Na muhaho nilioupata ni pale bibi anazama anatoa kibunda analipa bill then wakapanda juu room!!! Usiku natoka niingie mitaa ya sinza nikale nakutana na wao wanatoka nikajua room yao na yangu zinatazamana!!!
Sasa ile night kali bibi alikuwa anapelekewa moto sio poa yani sio poa zile kelele sijui alikuwa anamfanya nini bibi wa watu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini dogo alivaa vizuri tu sio pepee kalee[emoji23][emoji23][emoji23]