Kwa uandishi wako huu, hujawa tayari kuoa. Bado uko shule. subiri kama miaka 8 mpaka kumi ndipo usake mchumba!Nafkr nlkuj na maada hapa kuw yule mwanamke nlye hitaj kumtambulisha home ambapo mamaake aligoma mpaka nimlipie maali kumbe cjui walkuw wanalisuka na mamaake wale pesa yang? Mwisho wasiku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nnamimba yako ili tu nitume pesa! Duh nkashtukia mchezo nkamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kunasiku akanambia nmtumie mtonyo aje huku' kwajinc nlvyo mhtaj nkatuma akaanz vcngzio mara mama kachukua mara gar limemuacha.
Siku moja ilibd anifunulie kuw anampenz wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukwel huwa clazimish love nilimuacha wadau japo iliuma japo kwa sasa nmeamua kuwa single.
I will never trust woman even in marriage [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Nafkr nlkuj na maada hapa kuw yule mwanamke nlye hitaj kumtambulisha home ambapo mamaake aligoma mpaka nimlipie maali kumbe cjui walkuw wanalisuka na mamaake wale pesa yang? Mwisho wasiku huyo mchumba alianza kudeka deka mara naumwa mara nnamimba yako ili tu nitume pesa! Duh nkashtukia mchezo nkamwambia kuanzia leo situmi pesa, ila kunasiku akanambia nmtumie mtonyo aje huku' kwajinc nlvyo mhtaj nkatuma akaanz vcngzio mara mama kachukua mara gar limemuacha.
Siku moja ilibd anifunulie kuw anampenz wake kwa sasa ambae wanapendana so nimuache, kiukwel huwa clazimish love nilimuacha wadau japo iliuma japo kwa sasa nmeamua kuwa single.
I will never trust woman even in marriage [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Nadhani ni nyakati za kuviziana tuu,.atakaye muwahi mwenzie ndio huyohuyo "wina"😃Hizi mada mbona zinakuwa nyingi sana humu hadi zinaniletea kiungulia
Hatari sanaNadhani ni nyakati za kuviziana tuu,.atakaye muwahi mwenzie ndio huyohuyo "wina"[emoji2]
And likewise dia,.never trust a wrong man.Never trust a wrong woman. Mwanamke anapoanza ku play games.. dump her.. ukiona mapichapicha dump her.. anakuletea viswahili vingi dump her..
No time for games man. Jifunze kuhisi hatari mapema kabla hayajakutokea
Nlikuw nmemuhc hvyo nkaacha jibu sms zake wala call cpokei alvo ona hvyo akaamua nitext hvyo sijaandka vitu ving coz maada ingekua ndefu hvyo nmepga short ilete radha.Never trust a wrong woman. Mwanamke anapoanza ku play games.. dump her.. ukiona mapichapicha dump her.. anakuletea viswahili vingi dump her..
No time for games man. Jifunze kuhisi hatari mapema kabla hayajakutokea
Hizi mada mbona zinakuwa nyingi sana humu hadi zinaniletea kiungulia
Cheka tuu,.ila sisi ni viumbe watam na wazuri kupita "vito vya thamani" ukiwa na utulivu na "akili"...ukikurupuka hakika utaonja shubiri..Hahaaa umenifanya nicheke kwanguvu