Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,273
- 96,400
Mkishamafikia muafaka unistue nianze kuchakachua hii thread ya malaya mwiziWangekuwa mwili mmoja mwanaume asingeondoka bila kumpa taarifa
Mkishamafikia muafaka unistue nianze kuchakachua hii thread ya malaya mwiziWangekuwa mwili mmoja mwanaume asingeondoka bila kumpa taarifa
Machungu aliyokuletea ni yapi yaseme,wewe ni kibaka tu mzoefu,mwizi jambazi na tapeli,kwa nini wewe uchukue pesa za watu?umenikera sana!

Hahahaa! Usijali ila usije ukachakachuliwa weweMkishamafikia muafaka unistue nianze kuchakachua hii thread ya malaya mwizi
Mi mjanja wewe... hivi nyakati hizi unawezaje kwa mfano kuacha hela nyumbani?? Au hizi hela anazozungumzia huyu mwizi ni vichenji alivyovikuta kwenye dressing table??Hahahaa! Usijali ila usije ukachakachuliwa wewe
Hivyo vitakuwa vichenji aisee mana wakati huu sio rahisi kama ilivyozoeleka.Mi mjanja wewe... hivi nyakati hizi unawezaje kwa mfano kuacha hela nyumbani?? Au hizi hela anazozungumzia huyu mwizi ni vichenji alivyovikuta kwenye dressing table??
Basi kumbe haka kademu sio kaizi... haka ni kakibaka tu. Hako ukiwa na buku tano tu unakapeleka mash mash gesht haush bila shurutiHivyo vitakuwa vichenji aisee mana wakati huu sio rahisi kama ilivyozoeleka.
amemfanyia surprise mwezi wa mapenzi huu mapenzi mubasharaWangekuwa mwili mmoja mwanaume asingeondoka bila kumpa taarifa
Tena katakuwa kazoefu kangekuwa kanaanza kangekuwa na uoga kidogoBasi kumbe haka kademu sio kaizi... haka ni kakibaka tu. Hako ukiwa na buku tano tu unakapeleka mash mash gesht haush bila shuruti
Na kweli bonge la suprise ila hajafanya ubinadamu.amemfanyia surprise mwezi wa mapenzi huu mapenzi mubashara
Hivi kwanza kalipataje funguo za mlango wa jamaa? Au kalivunja kitasa?Tena katakuwa kazoefu kangekuwa kanaanza kangekuwa na uoga kidogo
Kanadai kalikuta mlango wazi. Ila utakuta kalikuwa kamechonga funguo sio bureHivi kwanza kalipataje funguo za mlango wa jamaa? Au kalivunja kitasa?
Nani ataacha mlango wazi usiku kucha miaka hii?? Afu akijua kabisa kaacha na mahela. Haka kakibaka kalivunja kitasa lazima.Kanadai kalikuta mlango wazi. Ila utakuta kalikuwa kamechonga funguo sio bure
Hahahaaaa!Nani ataacha mlango wazi usiku kucha miaka hii?? Afu akijua kabisa kaacha na mahela. Haka kakibaka kalivunja kitasa lazima.