Mapenzi haya!!! , naombeni ushaur wenu

Mapenzi haya!!! , naombeni ushaur wenu

Nina mpnz wngu, kawaida yake ilikua hawez kulala bila kunichek uck tuongee kidogo na ndio tulale, asa cku mbili hizi nimwona kidogo kachange co kama alivyokua, na jana aliwahi sana kuzima cm yake mi namtafuta uck nikawa cmpati, hadi kumekucha pia nikawa namchek hapatikan,,, ila mida flan akapatikana ila akawa hapokei cm yangu na akawa hapatikan tena, asa mm akili zngu zikanituma niende kwake nikajue mbivu na mbichi,,, mtoto wa kike nikafunga safar had kwake nilipofika sikumkuta na nilipouliza majirani wakaniambia kua jana hakurudi nikaingia ndani ili niweze kidogo kupumzisha akili na nijue nifanyeje, asa pale ndani nikakuta kuna pesa kaziacha ni pesa nyingi kidogo kwa usawa huu wa Magu,, nikachukua zile pesa nikasema hizi ndo zitaenda kupunguza machungu yngu, nikabeba zooote cjabakisha hata kumi! Huku nikiendelea kuchat nae na akanijib kua yupo mbali kidogo na cm yake haina chaji inazima, akiweka chaji atanitafuta, ila hapo alikua hajui kama nipo kwake,,, asa naona kati ya wale majiran zake kuna mmoja alimtonya na kumwambia mi nipo pale, na mm nikasema kama kaamua kunidanganya na mm nachukua hizi pesa kisha nasepa,, Basi bwana nikachukua zile pesa nikasepa zngu!!! Huku nyuma alivyoambiwa nimesepa akatuma waje wanifate nirud kwa sababu alijua kwa vvyote vile ntakua nimechukua pesà zake, akawa ananipigia na kuniomba nirud, nikakataa na nikamwambia pesa zako zote nimechukua! Na saiv ananiomba sana nirudishe zile pesa kwa madai hazikua zake!!! Na mm nimegoma kurudisha na kesho nasafir zngu, SA JE MNANISHAURI NIMRUDIDHIE PESA ZAKE AU MI NIKALE BATA MBELE KWA MBELE KUJIPONYESHA MAUMIVU ALONIPA????? iwe funzo kwake!

Ukichukua ni wizi ambapo ni kosa kisheria akiamua kupata mali zake. Vile vile unavunja uaminifu...hata kama alikuwa anahisi ww ni wife material atakuona mpigaji tu wa mjini.
 
Mimi pia duu wangu amesafiri tukapanga arudi nkamtumia 76000, bada ya kupokea tu akanambia atarudi nje ya mda tulokubaliana japo hakunambia kabla, kumbe altaka hela tu, nkamwita tapeli amekasrika, mkuu nmekosea kumwita tapeli ?
 
HAIPENDEZI
Mwanamke kuwa mwizi na unajisifu kabisa kwa jinsi ulivyokubuhu
 
Natamani ningekuwa mimi na hivi mikono inavyowasha yaani ningekufind then ningekupataaaaaaa...
 
Mimi pia duu wangu amesafiri tukapanga arudi nkamtumia 76000, bada ya kupokea tu akanambia atarudi nje ya mda tulokubaliana japo hakunambia kabla, kumbe altaka hela tu, nkamwita tapeli amekasrika, mkuu nmekosea kumwita tapeli ?
Hujakosea she is
 
Nkamuliza si angesema mapema kama anashida na hela ya matumizi na sio nauli, hana jibu
 
Uliza avatar yako itakupa jibu..
Hakuna mjadala wewe ni mwizi tu, ulimfuata mtu umekuta pesa sasa hutaki kuonana na mtu.
 
Mimi pia duu wangu amesafiri tukapanga arudi nkamtumia 76000, bada ya kupokea tu akanambia atarudi nje ya mda tulokubaliana japo hakunambia kabla, kumbe altaka hela tu, nkamwita tapeli amekasrika, mkuu nmekosea kumwita tapeli ?

Nkamuliza si angesema mapema kama anashida na hela ya matumizi na sio nauli, hana jibu
Yaan hapi ulimuita kwa jina analo stahili, ni tapeli, hivi na anavo kuja atakuomba tena bro
Hahaha
 
Hivi wanawake waliubwa na huyu huyu Mungu aliyeumba wanaume?, kwa akili kama hii mpaka unawaza pengine alikaimisha majukum ya uumbaji wa hawa viumbe aisee. Umeambiwa pesa ya watu ww bado unaichukua unataka akalale sero...pumbavu mwiz mkubwa rudisha haraka pesa hyo kabla hujampa jamaa kesi ya mauaji
 
Hahahaaaaaa!! Wakati mwingine inabidi uvute bangi kidogo ili utoe ushauri unaoendana na mrengo wa mada.

Sasa kutokuwepo kwake nyumbani kunahusiana nini na hizo pesa!! Mapenzi ya siku hizi bwana ni kukomoana tu.
 
Dah! Kweli ona pesa tujue tabia yako. Inawezekana wewe ni mdokozi tangu kitambo na hauna upendo wa kweli na kwa kuwa ulijua unaondoka ndio ulijifanya kumtafuta jamaa ili umchomoe pesa naye mjanja akawa anakukwepa. Rudisha tu hizo pesa vinginevyo zitakugharimu dada angu.
 
Njia nzuri ya kulipiza ungeenda na wewe utoe papuchi basi ngoma droo. Ila sijui wanakuaga na akili gani kuna mwingine nae hivo hivo kisa kama hicho chako, yeye kafika geto kaanza kuchana nguo, mashuka, anatupa viatu kule mara kachanganya sukari na sabuni yani ni taflani kisa tu anahisi jamaa kaenda kuchepuka. Sasa tofauti yenu hapo wewe ni MWIZI na huyo mwingine alikua CHIZI, hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe.
 
kwahiyo nini unachowaza baada ya kuchukua hizo pesa... mapenzi yataendelea au ndo umejiachisha jumla!
 
Njia nzuri ya kulipiza ungeenda na wewe utoe papuchi basi ngoma droo. Ila sijui wanakuaga na akili gani kuna mwingine nae hivo hivo kisa kama hicho chako, yeye kafika geto kaanza kuchana nguo, mashuka, anatupa viatu kule mara kachanganya sukari na sabuni yani ni taflani kisa tu anahisi jamaa kaenda kuchepuka. Sasa tofauti yenu hapo wewe ni MWIZI na huyo mwingine alikua CHIZI, hawa viumbe akili zao wanazijua wenyewe.
huyo wa kuchanganya hafai... siku anaweza kuchanganya sabuni ya omo na unga wa sembe.... siku ukipika unaona maputo tu....😛😛😛😛😛😛😛
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom