Mapenzi haya!!! , naombeni ushaur wenu

Mapenzi haya!!! , naombeni ushaur wenu

Nina mpnz wngu, kawaida yake ilikua hawez kulala bila kunichek uck tuongee kidogo na ndio tulale, asa cku mbili hizi nimwona kidogo kachange co kama alivyokua, na jana aliwahi sana kuzima cm yake mi namtafuta uck nikawa cmpati, hadi kumekucha pia nikawa namchek hapatikan,,, ila mida flan akapatikana ila akawa hapokei cm yangu na akawa hapatikan tena, asa mm akili zngu zikanituma niende kwake nikajue mbivu na mbichi,,, mtoto wa kike nikafunga safar had kwake nilipofika sikumkuta na nilipouliza majirani wakaniambia kua jana hakurudi nikaingia ndani ili niweze kidogo kupumzisha akili na nijue nifanyeje, asa pale ndani nikakuta kuna pesa kaziacha ni pesa nyingi kidogo kwa usawa huu wa Magu,, nikachukua zile pesa nikasema hizi ndo zitaenda kupunguza machungu yngu, nikabeba zooote cjabakisha hata kumi! Huku nikiendelea kuchat nae na akanijib kua yupo mbali kidogo na cm yake haina chaji inazima, akiweka chaji atanitafuta, ila hapo alikua hajui kama nipo kwake,,, asa naona kati ya wale majiran zake kuna mmoja alimtonya na kumwambia mi nipo pale, na mm nikasema kama kaamua kunidanganya na mm nachukua hizi pesa kisha nasepa,, Basi bwana nikachukua zile pesa nikasepa zngu!!! Huku nyuma alivyoambiwa nimesepa akatuma waje wanifate nirud kwa sababu alijua kwa vvyote vile ntakua nimechukua pesà zake, akawa ananipigia na kuniomba nirud, nikakataa na nikamwambia pesa zako zote nimechukua! Na saiv ananiomba sana nirudishe zile pesa kwa madai hazikua zake!!! Na mm nimegoma kurudisha na kesho nasafir zngu, SA JE MNANISHAURI NIMRUDIDHIE PESA ZAKE AU MI NIKALE BATA MBELE KWA MBELE KUJIPONYESHA MAUMIVU ALONIPA????? iwe funzo kwake!

Upo darasa la ngapi sababu huu mtiririko sio wa mtu mzima !!
Umeenda umemkosa, hata hujui yupo wapi tayari umeshamhukumu eti maumiv aliokupa??
Angalia, huo ni wizi pure, tena mashahidi wamekuona. Nyie ndo mnaishia kuliwa 4G we nenda kale mwewe kabisa sio bata !!
 
Mimi sijaona hata sababu iliyokuharalisha uchukue hizo pesa, labda useme2 kuwa umezitamani hela zamwenzio nandio umepata nasababu yakuchukua ila kama unamalengo nae nibora usitumie hata mia ili isije ikakugharimu siku zambele
 
Nina mpnz wngu, kawaida yake ilikua hawez kulala bila kunichek uck tuongee kidogo na ndio tulale, asa cku mbili hizi nimwona kidogo kachange co kama alivyokua, na jana aliwahi sana kuzima cm yake mi namtafuta uck nikawa cmpati, hadi kumekucha pia nikawa namchek hapatikan,,, ila mida flan akapatikana ila akawa hapokei cm yangu na akawa hapatikan tena, asa mm akili zngu zikanituma niende kwake nikajue mbivu na mbichi,,, mtoto wa kike nikafunga safar had kwake nilipofika sikumkuta na nilipouliza majirani wakaniambia kua jana hakurudi nikaingia ndani ili niweze kidogo kupumzisha akili na nijue nifanyeje, asa pale ndani nikakuta kuna pesa kaziacha ni pesa nyingi kidogo kwa usawa huu wa Magu,, nikachukua zile pesa nikasema hizi ndo zitaenda kupunguza machungu yngu, nikabeba zooote cjabakisha hata kumi! Huku nikiendelea kuchat nae na akanijib kua yupo mbali kidogo na cm yake haina chaji inazima, akiweka chaji atanitafuta, ila hapo alikua hajui kama nipo kwake,,, asa naona kati ya wale majiran zake kuna mmoja alimtonya na kumwambia mi nipo pale, na mm nikasema kama kaamua kunidanganya na mm nachukua hizi pesa kisha nasepa,, Basi bwana nikachukua zile pesa nikasepa zngu!!! Huku nyuma alivyoambiwa nimesepa akatuma waje wanifate nirud kwa sababu alijua kwa vvyote vile ntakua nimechukua pesà zake, akawa ananipigia na kuniomba nirud, nikakataa na nikamwambia pesa zako zote nimechukua! Na saiv ananiomba sana nirudishe zile pesa kwa madai hazikua zake!!! Na mm nimegoma kurudisha na kesho nasafir zngu, SA JE MNANISHAURI NIMRUDIDHIE PESA ZAKE AU MI NIKALE BATA MBELE KWA MBELE KUJIPONYESHA MAUMIVU ALONIPA????? iwe funzo kwake!
Natamani mimi ningekua huyo boyfriend wako, hakika ungejuta kwa uamuzi uliouchukua. Napenda sana watu wanofanya maamuzi kwa kukurupuka. Pesa zina uhusiano gani na ugomvi wenu?

wewe ni mdokozi, hustahili kuwa mwanamke wa mtu akuamini na kukuachia funguo za nyumba. wewe ni mwizi, mtu akilala na wewe anatakiwa ahakikishe wallet yake kaiweka sehemu salama.

Hii tabia haifai kuitangaza kwenye mitandao, unatoa tahadhari kwa wale vijana wanokunyemelea huko PM wajue wewe ni mdokozi.

Wacha hii tabia harakaa
 
Mm kweli sikurudii tena hata km ukizirudusha hizo pesa
huyo jamaa kulala nje siku mbili keshaanza kukuchoka huenda ni kero unamletea
 
Unatabia ya udokozi na tamaa ya pesa imekutawala kuliko mapenzi na huyo mzinzi mwenzio.
Na......
Kamwe mapenzi hayapimwi kwa pesa.
 
Anywa mrudishie ila ndo utakuwa mwisho wenu. Ukimpa au kutompa yote sawa ila ndo basi tena
 
We ni mpumbavu first class, yani nimepata hasira ningekua huyo jamaa ningekunyoosha. Sijui wanatoaga wapa haya machangudoa mamamamaeee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom