Mapenzi haya kero nishaurini

Haha ...yeah ni kauzu sana. ..aliharibu sana kwenye ule uzi ...yaani aliomba ushauri wakati huo huo alivyokuwa anashauriwa ikawa ana panic
Huyu demu ni kauzu, nakumbuka aliwajibu watu shit waliokuwa wanamshauri kuhusu hiyo business yake.

Kumbe zilikuwa ni mchanganyo wa stress za kutonanihiwa vizuri...
 
Hakuna siku hizi wanaume wa kuoa. Vinginevyo akisubiri wa kumuoa atabaki na kitumbua chake
 
Picha anayokuonyesha mkiwa kazini ni picha ya kihindi....na mwenzako pia analiwa na soon atasaidiwa pesa ndogo ndogo. .kama alivyokupata wewe akakutumia ...kakuchoka hata kukuaga ni shida sasa ni zamu ya mwenzako...

Muwe mnatuliza vikojoleo vyenu kenge nyinyi.
 
Kitu kitamu unachangia na wenzio.
Acha na huyo dada ajichanganye naye! Kwa sababu inaonekana hata wewe si mume wako.
Maana miaka 65 atakuwa na mke na watoto wake. So nyote ni michepuko tu.


Kwani umeshaolewa au bado?
Tuanze na hilo kwanza.
na wajukuu
 
ngoswe penzi kitovu cha uzembe....kweli ofisini mnaleta habari za mapenzi? ebu jaribu kufanya kila jambo kwa wakati wake na mahali pake sahihi
 
Aiseee vita ya mapenz aija wahi kumuacha salama
 
Hahahaaa
 
Njoo pm tuongeee mm nikijana mwenzako tutajadiri namna ya kufikishana galilaya
 
Ni wivu tu,Ni wivu tu unakusumbua.
 
Naomba niulize swali moja la ufahamu, babaako ana umri gani Mkuu? Na je mama nae umri wake ukoje? Lakini pia unafaidi nn kwa huyo mstaafu? Je kwa vijana wanaokuona na huyo mstaafu wanakuchuliaje? Majibu hayo yatakupa maamzi. Kwa heri
 
Kwañn unampenda mtu wa aina iyoo 65 years dah weka hisia pembeni badilisha mpango juu yake be a gold digger sababu ata ukisema uwekeze hisia zako kwake atakuja kukuacha2 vuna pesa muache solemba ila usijaribu kwenye mapenzi yenu kumtumia picha za uchi au video za uchi
 
Umekosa mwanaume wa rika lako kabisa? mapaka utembee na babu wa watu??
 
Kuna wimbo " tutabanana hapa hapa" jikatae! Simple.
 
😂😂😂 boss kazi anataka amteme af yeye anajidai haelewi somo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…