Mapenzi haya kero nishaurini


Mmh jamani hatarii fire
 

Huwa nashangaa Sana wanaoona kuwa mwanamke ndiye hutumika Kama hajaolewa

Ila akiolewa Ni sawa tu kwakuwa Yuko ndoani...ha ha ha kunakuwa Ni kufanya mapenzi...

Hii mindset iache bana

Kama mtu kaamua kuwa na mbaba wa miaka 65 ujue kaamua kula rahaa...

Kwani hivi kuwa mchepuko Kuna shida gani?? Kama mtu kaamua mwenyewe.

Kuolewa kwani Ni big deal?? Halafu ujue Ni kubaya Basi tu mwanamke ndiye hutumika mpaka Basi....apike, afue, amalize haja za mume kitandani alee watoto ha ha ha ha.....Ila kwakuwa Ni mindset Basi twaona sifa Sana.
 
Yaani ni zee moja hivi halina aibu limejibanza ofisini moja hivi ya shirika la dini baada ya kustaaf TRA
Huenda Ni mchezeaji tu...Kama waona wameshatakana na huyo mwenzio kula Kona Ila Kama waona waweza mudu pambana na hali yako.
 
32 ni mtu mzima huyo anajua anachofanya, ameleta hiyo maada aone mapovu yenu.
Kama hajaolewa, ataolewa na yeye watamchukulia mme wake vilevile.
Lakini kwa huo Umri anakaribia kukata tamaa.
 
Subiri video itasemaje.

Wanawake mnapenda kulalamika sasa huyo mzee ni mmeo au mpenzi wako? Na kama ni mpenzi wako hayo mamlaka ya mkewe unayatoa wapi?

Anakusaidia maisha hivyo bebeka, na kama hakusaidii maisha hebu jaribu kumuacha uone.
[emoji23]
 
duh..huyo ajuza na miaka yake 65 bado anafanya nin ofisini mpaka Leo?
 
Mmh achana nae hakufai, halafu mapenzi kazini hayajawahi kuleta matokeo chanya
 
Subiri video itasemaje.

Wanawake mnapenda kulalamika sasa huyo mzee ni mmeo au mpenzi wako? Na kama ni mpenzi wako hayo mamlaka ya mkewe unayatoa wapi?

Anakusaidia maisha hivyo bebeka, na kama hakusaidii maisha hebu jaribu kumuacha uone.
Hahaa
 
Hivi ofisi ipi hiyo wazee mpaka 65 wanapiga kazi tu!!! Huyo ni baba ako huoni hata aibu kuangalia mkuyenge wake!!!, Tafuta size yako akuoe
Hahaa kuna watu wame vurugwa aise .... miaka 32 kwa 65,...daah !!!
 
Wewe ndiye huna aibu ulikuwa na akili za panzi wakati anakutanua miguu na kukumwagia kamasi zake katikati ya mapaja yako?

Muda mwingine mjiheshimu kwanza, kwa maana hiyo wewe unaweza kulala hata na mzee wako na usione ajabu.
Indeed
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…