Nachotaka tukiwa kazini mapenzi tuweke kando tufanye kazi kwa amani sasa hatua ya mpaka kutoagana
Nashangaa ww ndo ungeona hata aibu kuandika ww hujiheshimu nan atakuheshimu heshima inaanza na ww yaan Mungu nisaidie yan hata nikutane na magumu kias gan siez badilisha mchi kwakwellWewe ndiye huna aibu ulikuwa na akili za panzi wakati anakutanua miguu na kukumwagia kamasi zake katikati ya mapaja yako?
Muda mwingine mjiheshimu kwanza, kwa maana hiyo wewe unaweza kulala hata na mzee wako na usione ajabu.
Mkuu kiwango chako hakishuki daima.Subiri video itasemaje.
Wanawake mnapenda kulalamika sasa huyo mzee ni mmeo au mpenzi wako? Na kama ni mpenzi wako hayo mamlaka ya mkewe unayatoa wapi?
Anakusaidia maisha hivyo bebeka, na kama hakusaidii maisha hebu jaribu kumuacha uone.
Hahahah nimecheka sana hasira hasaraYaani ni zee moja hivi halina aibu limejibanza ofisini moja hivi ya shirika la dini baada ya kustaaf TRA
Amemuwowa?Ndio maana mnaambiwa msiwe na mahusiano kazini chochote kinatokea kama yanayokukuta utaendelea kukutana na dharau zaidi
Acha nikupe pole tu
HahahahHizi hela zitatutoa roho!
Miaka 65 amuoe huyo mzee ana mke wake nyumbaniAmemuwowa?
Na wajukuuMiaka 65 amuoe huyo mzee ana mke wake nyumbani
Sneaker shopping showHapana sikijui,kinaitwaje?
Bongo hii au njeKama umemzidi klynn kwa uclassic utahongwa tu
Nione aibu kuandika kuhusu mtu mmoja aliyekeng'euka!!!Nashangaa ww ndo ungeona hata aibu kuandika ww hujiheshimu nan atakuheshimu heshima inaanza na ww yaan Mungu nisaidie yan hata nikutane na magumu kias gan siez badilisha mchi kwakwell
Na wajukuu
HahahahaNa wajukuu
Hakujui huyoNione aibu kuandika kuhusu mtu mmoja aliyekeng'euka!!!
Nione aibu mimi!.
Nope mkuu nmemaanisha hyo bintNione aibu kuandika kuhusu mtu mmoja aliyekeng'euka!!!
Nione aibu mimi!.