[emoji23][emoji23] miaka 65 hapana kwa kweli labda anihonge BRABUS ,yani wewe una kazi bado unahangaika na vijisent vya wazee View attachment 1091713
Series mpya ikianza nitakushtua.Kipindi changu pendwa naona clouds walijaribu na na 5gear
Kama hicho ndicho unacho taka unaamn ukiandika humu utakipata??? Wanawake wengi mtaishia kuchezewa badala ya kujenga future zenuNachotaka tukiwa kazini mapenzi tuweke kando tufanye kazi kwa amani sasa hatua ya mpaka kutoagana
Mmmh labda maana sijawahi kudate above 38 na under 26Tatizo vijana wanalamba PAPUCHI kwa Mang'amu ng'amu! Wakati wazee tunalamba kwa kisikilizia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!!
Poa, na kuna kipindi huwa kinaonesha celebrity sneaker closets unakijua?Series mpya ikianza nitakushtua.
Hapana sikijui,kinaitwaje?Poa, na kuna kipindi huwa kinaonesha sneakers 👟 za ma celebrate unakijua?
Karibu uone DEMOMmmh labda maana sijawahi kudate above 38 na under 26
Yale yale ya Mengi na KlynnHabari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.
Sasa hapa ofisini kuna mdada hua anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu. Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo. Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja , sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?
halina adabu wakati linakuvua pichu........wacha abadilishe mboga,,,kisamvu chako kimechacha........hadabu huna kabisaYaani ni zee moja hivi halina aibu limejibanza ofisini moja hivi ya shirika la dini baada ya kustaaf TRA
Mwamba fuatilia liverpool kwanza hahahaHuyo ni mali yenu nyote, kila mtu ale kwa wakati wake.
Kuna biashara ya mama lishe ulisema unafungua, vipi tayari?'
Aachane akose vijisent.....jambo lisilowezekana kwa mwanamke iloUnaweza ongea nae ujue tatizo nini ila njia nzuri ni kuachana nae
Mwamba fuatilia liverpool kwanza hahaha
Kama umemzidi klynn kwa uclassic utahongwa tu[emoji23][emoji23] miaka 65 hapana kwa kweli labda anihonge BRABUS ,yani wewe una kazi bado unahangaika na vijisent vya wazee View attachment 1091713
Huyu demu ni kauzu, nakumbuka aliwajibu watu shit waliokuwa wanamshauri kuhusu hiyo business yake.
Kumbe zilikuwa ni mchanganyo wa stress za kutonanihiwa vizuri...
Hataki vibenten wahuni wamzukie.....
Sasa unategemea mtu kama hyo awe na ww tu s ajabu anawazunguka ofisin wote afu nyie ndo mnshinda insta mnamsakama mke wa mengi hv kwan ukifanya kazi bila kuingiza mapenz hazifanyik et humuhurumii hata hyo mchumba wako jamnHabari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.