Cataliyya
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 781
- 378
Habari wapendwa, Mimi (miaka 32) nimetokea kua na mahusiano na mbaba mmoja hivi hapa ofisini (yupo kwenye miaka 65 hivi) pia hua ananipaga vijisent vya matumizi.
Sasa hapa ofisini kuna mdada huwa anajipitisha pitisha kwa huyu mbaba pia naona wapo karibu.
Sasa Jana kama kawaida yetu akataka tukumbatiane (tushikane) sikukataa nikainuka ila nkamwambia niko period na kwamba imeanza ghafla, mzee akaondoka akijiuliza maswali hakuniamini akaniambia nna mpango wangu wakati kabla ya hapo alikua anavumilia hivyo hivyo.
Sasa leo bosi akamwambia huyu baba na huyu dada anaejipitisha pitisha waende ofisi flani hivi pamoja. Wakati wanaondoka huyu baba akamuaga dada mwingine hapa ofisini
mimi hakuniaga ukizingatia wote tupo ofisini moja.
Sasa ni picha gani hii anaonyesha tukiwa kazini? Mnanishaurije?