M mbelege Member Joined May 9, 2012 Posts 14 Reaction score 0 Jun 9, 2012 #1 Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania?
Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania?
cartura JF-Expert Member Joined Aug 13, 2009 Posts 3,026 Reaction score 789 Jun 9, 2012 #2 hakuna... just muombee kila la kheri huko aendako then chukua time yako... kwa nini muanze kubembelezana bana?
hakuna... just muombee kila la kheri huko aendako then chukua time yako... kwa nini muanze kubembelezana bana?
M Mantisa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 322 Reaction score 235 Jun 9, 2012 #3 Too complicated
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,955 Reaction score 16,006 Jun 9, 2012 #4 unamwambia na wewe ulikuwa unatafuta njia ya kumwambia mtemane!
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,712 Jun 9, 2012 #5 Una haki ya kujua sababu ya kuachana..hata kama haitamaanisha kumbembeleza mrudiane. Ila unatakiwa kujua sababu.
Una haki ya kujua sababu ya kuachana..hata kama haitamaanisha kumbembeleza mrudiane. Ila unatakiwa kujua sababu.
Ndechumia JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,187 Reaction score 615 Jun 9, 2012 #6 ni vema kujua sababu
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,859 Jun 9, 2012 #7 Ni vizuri ujue kama umekosea nini otherwise muombee heri huko aendako
Losambo JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 2,611 Reaction score 867 Jun 9, 2012 #8 Ni kweli kuna haja ya kuja sababu ya kuachana ili iku nyingine akitaka kurudi kuomba msamaha mrudiane basi ujue kama kweli kajirekebisha au laaaaah!!!!!!
Ni kweli kuna haja ya kuja sababu ya kuachana ili iku nyingine akitaka kurudi kuomba msamaha mrudiane basi ujue kama kweli kajirekebisha au laaaaah!!!!!!
ummu kulthum JF-Expert Member Joined Feb 6, 2012 Posts 2,784 Reaction score 1,317 Jun 9, 2012 #9 yaaan namtema kama jojo
CUTE JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 1,229 Reaction score 591 Jun 9, 2012 #11 mbelege said: Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania? Click to expand... hapana kwakweli ila kama unampenda sana kuna haja ya kujua kosa lako liko wapi hadi akuache ivo huna budi kumuuliza kulikoni na sio kumng'ang'ania
mbelege said: Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania? Click to expand... hapana kwakweli ila kama unampenda sana kuna haja ya kujua kosa lako liko wapi hadi akuache ivo huna budi kumuuliza kulikoni na sio kumng'ang'ania
CUTE JF-Expert Member Joined Mar 5, 2012 Posts 1,229 Reaction score 591 Jun 9, 2012 #12 ummu kulthum said: yaaan namtema kama jojo Click to expand... hahhaa umenikumbusha pipi za jojo
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 Jun 10, 2012 #13 mbelege said: Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania? Click to expand... hasira hasara na mvumilivu hula mbivu.
mbelege said: Hivi wanajamii mpenzi wako akikutumia meseji ya kukutaka muachane kunahaja ya kuendele kumng'ang'ania? Click to expand... hasira hasara na mvumilivu hula mbivu.
Mamzalendo JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,670 Reaction score 558 Jun 10, 2012 #14 wewe unaonaje?kwa nlivyopokea swali lako hakuna haja kwa sababu haionekani kama limekugusa