Mapenzi bila ya uongo hayaendi/hayanogi.

Mapenzi bila ya uongo hayaendi/hayanogi.

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Nimeisikia mara kadhaa hiyo kauli kwamba mapenzi bila ya uongo hayaendi au hayanogi.

Kwa upande wako hiyo kauli imekaaje mdau??
 
ni kweli kabisa na 2019 ndo TUNAANZA UPYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.!
 
si mapenzi tuu, tatizo kunawatu huwa hawako tayari kusikia ukweli na ukimwambia ukweli anaona wamdanganya ndo maana hudanganywa, mtu anaambiwa ukweli anasema acha kunidanganya weweee so kinachofuta anadanganywa anaona ndo sawa
 
Back
Top Bottom