Mama ake mzazi aliemlea miaka yote ile hashiki
simu yake...sasa wewe ulieokotwa majuzi tu hapa
haki hiyo ulipewa na shirika lipi kwenye umoja
wa mataifa? Kupendwa na mtu sio kibali cha kua
na umbea. Ukivuka mipaka ukaanza kushika
simu ya mpenzi wako, unastahili kuona yote yatakayokupa vidonda vya tumbo