Mapenzi basi tena

Ndio maana kuumbe!! Huna hata siku 20 tangu ujiunge??
 

Siyo kweli ma familly hawatak niwe na relationship na watu hawana mahela dats y ikawa ivo ma bf he was gud bt tatzo ni din nikamuwacha
 
Sijadu na mmbaba he was ma boyfrnd
Si umesema kuwa wewe bado mdogo? Ok huyo boy ni kweli ulimwacha kwa sababu za kiimani au kwa kuwa alikuwa na mshiko mbuzi na wewe unataka wenye pesa ndefu? kuwa mkweli tu, it wont cost a thing
 
swali la mwisho kwako umukagame, umesema kuwa wewe bado mdogo, je mdogo wa umri au mdogo kwa hiyo mibaba? je umeamua kuokoka kuachana na hiyo mibaba tu au na sisi vijana wenzako pia?

Me mdg kwao sana kama mtoto wao wa kunizaa emagine kama baba yangu,,nimeamua kuachana nao kabisa vijana wenzangu pia kwa sasa sihitaj natulia kwanza
 
Soda ya kopo wamekunywa ndo basi tena sasa
 
Si umesema kuwa wewe bado mdogo? Ok huyo boy ni kweli ulimwacha kwa sababu za kiimani au kwa kuwa alikuwa na mshiko mbuzi na wewe unataka wenye pesa ndefu? kuwa mkweli tu, it wont cost a thing

He was very gud,,kaz nzur,usafiri ,mzur,nyumba nzuri an kunipenda sana tatz dini na umri wake kanzidi 13 years ila hilo halikuwa tatz tatz kbwa n din
 
Me mdg kwao sana kama mtoto wao wa kunizaa emagine kama baba yangu,,nimeamua kuachana nao kabisa vijana wenzangu pia kwa sasa sihitaj natulia kwanza

Kwa hiyo mwanzo ulivyo wakubali hukujua kuwa ni kama baba zako ndo unashituka sasa? na huyo boy wako ambae unaona alikuwa kijana mwenzako mbona ni mkubwa sana kwako nayeye huyo si mbaba tu kama hao wengine? inaonyesha kuwa wewe unatabia ya kupenda wababa sana.

By the way nakupongeza sana na uamuzi ulofikia, kama umeamua kuachana na hizo mambo, unaweza kushinda kwa ukweli tu ukiamua kujicommit kwenye dini, tumia muda wako mwingi ( your free time)kwenye shunghuli za kikanisa kisha kuwa na msimamo wa kweli ( kwamaana hata huko makanisani nako kumeoza vilele).

Jaribu kuwa mtu wa maombi na kusoma sana neno la Mungu, achana na marafiki ambao unaona wanaweza kuwa kikwazo katika msimamo wako, usiende kwenye mazingira ambayo yatakusababisha kulegeza msimamo wako, tumia muda wako wa jioni kuwa nyumbani pamoja na familia.

GOD BLESS YOU
 
Kwani umekuwaje ulipokua ukihangaika ulikua unawaza nini binti? we kama hutaki nyuti unamuwekea nani matangazo ili iweje sasa???
 
kuna watu mna bahati zenu jamani. hata mwezi hujamaliza tayari watu washaonesha interest huko PM!! wengine miaka inakatika bila bila

Ha ha ha haaah,,,,,,,jamani ya kweli haya?
 
Huyu umukagame katokea wapi? kuna siku alitangaza humu anataka kujiua.....!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…