makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,338
- 3,618
Hivi shemeji! Ah nimekumbuka Si tulifanyia ziwani sio baharini. Hata hivyo bora uliichoropoa
shemeji?????.......uliduu na shem!!!!!
Hivi shemeji! Ah nimekumbuka Si tulifanyia ziwani sio baharini. Hata hivyo bora uliichoropoa
Mmmmmh!!!! we nawe!! basi utakuwa na pepo la nyege maji km ndo hivo
Ni imani ya Kiswahili hakuna kitu kama hicho.Hawayuni?
Kipindi hiki cha likizo ndefu Kenya na haswa watu wanaposherehekea sikukuu za krismasi na mwaka mpya watu wengi hupenda kutembea baharini kama Mombasa.
Wengi hupenda kuogelea na wapenzi wao na hata wengine kufikia hatua ya kutaka kufanya mapenzi baharini tena ndani ya maji.
Nimesikia ya kuwa mwanamke akifanya mapenzi baharini na apate mimba, mtoto huyo huwa na mapepo, au hata kuwa na akili za kishetani shetani kwa sababu bahari imejaa majini, mapepo na hata mizimu.
Hivi hizi ni fununu za ukweli au ni vioja tu wakuu?
Saba na cta ucku kuna nn mkuu?
Sio nina nyota ya nguva mkuu??
Niliskia tu kwa watu saa saba sio mda mzuri kujisogeza baharini inasemekana hutoka na kukaa ufukweni na mda wa usiku mkubwa ila sana visiwani mtafute mvuvi mzoefu muulize wale wanaovua usiku watakujuza maana hawa wanajua mengi nawanakutana na vitimbi vingi.
Ukiingia tu baharini maji yakigusa naniliu ni full genye
Ahsante kwa taarifa, tutatumia dawa ya penzi
Marahaba mwaya...!Fununu..