Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,053
- 4,297
MAWASILIANO YA SIMU YALIANZA KUCHANGANYA MIAKA YA 2001+LAKINI KABLA YA HAPO MAWASILIANO HASA YA MAPENZ YALIKUWEPO HASA KWA KUTUMIA VIMEMO/LETTER.POINT YA MSINGI BARUA IPI KATI YA ULIZOTUMIWA MWENYEWE ULIKUWA UNASEMA HII THE BEST~LETTER!MAAAN ULIKUWA HUCHOKI KUISOMA KILA UKIPIGA ROUND NA MWAKA GANI