Umemuuliza swali la mbolea. Umenikumbusha mwingereza mmoja alikuwa serengeti na mumewe. Waiter akaja akaongea kimombo kama cha jamaa yako "we are differ." Mzungu akamgeukia mumewe akauliza "what language is he speaking?" Mume akajibu "English". Mke akasema "gosh, these former colonies annoy me a lot, we gave them a language when we left. Why don't they use it?"