Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

Yaani Mpina umeamua kuja kujipigia debe mwenyewe kabisa? Kwa sifa gani mkuu mpaka tukupe uwaziri mkuu? Hii haitakaa njema maana wote watakuwa Wasukuma hiyo haitapendeza kabisa!!
hahaha ..kwa hiyo wewe utaki chapa ng'ombe kabisaa..
binafsi namkubali sana huyu jamaa..
mie sio mpina bana..
 
habar wakuu,mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe akiwa anahojiwa na Millard Ayo aliulizwa utabir wake kuwa nani atakuwa wazir mkuu Zitto akasema wazir mkuu atatokea mkoa wa LINDI au TANGA

source:clouds fm
 
Habar.atabir,Wazir.Kuna shida hapo.Anyway tuyaache hayo.Mimi nilidhani utatupa jina dah.Hii haitusaidii sana.It's too vague.
habar wakuu,mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe akiwa anahojiwa na Millard Ayo aliulizwa utabir wake kuwa nani atakuwa wazir mkuu Zitto akasema wazir mkuu atatokea mkoa wa LINDI au TANGA

source:clouds fm
 
habar wakuu,mbunge wa kigoma mjini Zitto Kabwe akiwa anahojiwa na Millard Ayo aliulizwa utabir wake kuwa nani atakuwa wazir mkuu Zitto akasema wazir mkuu atatokea mkoa wa LINDI au TANGA

source:clouds fm
Huyu kazoe mambo ya kishirikina tu mengine hayawezi tena.
 
Haka kajinga kameendekeza unafiki na ushirikina mpaka kamepoteza uaminifu kwa jamii! kama kaliweza kumuondoa mamake ili katambe kwenye siasa kana maana hako?
 
Back
Top Bottom