nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
haa haa ikitokea hivo maghufuli atakuwa amewavunja moyo wazalendo. escrow escrow escrow...
Mkuu umeongea jambo la maana!
Inakuwaje hapo ikulu mambo yana vuja kiulaini kiasi hiki??
Hapa nilipo nina nakala ya gazeti la mawio la juzi,!
Linahabari ya Hotuba ya Raisi atakayo toa huko bungeni!
Najiuliza huko ikulu mbona kumeoza kiasi hiki???
Itabidi mkulu ashauriwe kuanza kuisafisha ofisi yake ya magogoni kwanza kwa ustawi wa administration yake!!
Natamani iwe kweli. Prof Muhongo namkubali sana.
Wanajamvi,
Salaam!
Nimeandika km tetesi kutokana na ile sheria yetu ya cyber crime. Lkn hii taarifa nimepenyezewa na mtu nyeti kabisa kutoka jikoni.
Kulikuwa na mvutano na baadhi ya washauri wa Dr. Lkn mkuu wa nchi kawakatalia na kusema nchi hii kwa sasa inahitaji waziri mkuu anayefanana na Rais ktk kutekeleza kauli mbiu ya"hapa kazi tu".
Narudia tena huu siyo utabiri ndicho kitakachotokea wiki ijayo.
Mods msifute uzi wangu,subirini kunipiga ban km nilichosema hakitatokea..!

eeeeeeh, kweli kabisa ila baridi tu.Habari mbaya kwa Mengi
Muhongo hahusiki na escrow. Hizo ni siasa na bahati mbaya Magufuli na Muhongo sio wanasiasa. Chaguo sahihi 100%.
Wapiga siasa kumbukeni muda wa siasa umekwisha. Mnamtumikia Mengi! Mengi si lolote ktk serikali ya awamu ya tano. Inabidi aufyate vinginevyo tutamfilisi.
Prof.Muhongo au Dk.Mwakyembe tu hapo,
Nasikia mengi hataki kabisa muhongo arudi serikalini,,
hata watanzania wasiopenda majivuno,kashfa na ufisadi...
muhongo escrow, mwakyembe mabehewa feki...
None sense kabisa hapo, vip Lowasa Richmond.muhongo escrow, mwakyembe mabehewa feki...