Mapendekezo ya PAYE-Pata jibu mshahara wako utakuwaje

Kwenye hii template kuna baadhi ya vitu havipo so unaweza kuongezea kama unajua excel. Mfano NHIF, Vyama vya wafanyakazi k.m RAAWU, Loan Board etc. Pia kwa watumishi wa umma (PSSSF) makato ni 5% siyo 10% kama ilivyo kwenye hii template.
 

Attachments

  • SALARY CALCULATOR (modified).xlsx
    12.3 KB · Views: 34
Hapa mie sijaelewa chochote ngoja niendelee kusubiri michango ya wadau wengine labda naweza kuelewa vizuri
 
Back
Top Bottom