Mapendekezo ya CCM Uchaguzi wa Serikali za mitaa mwakani

Toka lini quotation zikawa ni barua?. Are you ok?.

CCM ina taratibu zake za kiutendaji ambapo hii pia inajumuisha mawasiliano kiofisi.

Barua ya CCM haikuwa press release au haikuhusu umma, bali ilikuwa mahsusi kwa wizara inayoshughurika na serikali za mtaa. Kuileta hapa na kuanza kuijadiri siyo tu ni kinyume cha malengo yake bali pia ni kinyume cha taratibu za kiofisi ambazo CCM inazienzi.

CCM siyo CHADEMA.
Kwa hiyo issue kwako unataka barua yenyewe na wala sio nukuu ya maudhui ya barua na hapo utajadili? Are you okay? Naona unakwepa tu hoja, lakini Hakuna shida kuna mdaku atarusha tu copy ya hiyo barua humu JF, then tuone namna utakavyojadili, lakini nahisi bado utadai huiamini maana huenda imegushiwa!!!

Ni kweli CCM ina taratibu zake, lakini barua imeshavuja na hivyo sio siri tena, na kikubwa JF ni social media na tunatumia ID na wala sio majina yetu halisi, we can dare to talk openly, so why are you afraiding to talk? Posho itakatwa?
 
hii ni hofu ya chadea baada ya kuona wanazidiwa siasa sasa wanaendelea ku pre empty mambo...kesi ya ugaidi na ulishaji watu sumu na utekaji inawatafuna
 
CDM nao watoe mapendekezo yao ikiwa ni kuendelea na kuwatumia waalimu katika kusimamia uchaguzi wa 2014.Kwa maana hiyo utaratibu utumuke ule wa zamani.waalimu sasa wameshaona wazi CCM haiwataki tena tumieni ushawishi wenu katika jamii kuimaliza cccm kwana dhahiri imeonyesha kutokuwa na nia ya dhati ya kumaliza mgogoro wenu na serikali badala yake ni ubabe.MWENYE MACHO HAAMBIWI TTAZAMA.
 
Kwa hiyo issue kwako unataka barua yenyewe na wala sio nukuu ya maudhui ya barua na hapo utajadili? Are you okay? Naona unakwepa tu hoja, lakini Hakuna shida kuna mdaku atarusha tu copy ya hiyo barua humu JF, then tuone namna utakavyojadili, lakini nahisi bado utadai huiamini maana huenda imegushiwa!!!

Ni kweli CCM ina taratibu zake, lakini barua imeshavuja na hivyo sio siri tena, na kikubwa JF ni social media na tunatumia ID na wala sio majina yetu halisi, we can dare to talk openly, so why are you afraiding to talk? Posho itakatwa?

tunataka ushahidi kama ule wa video ya utekaji ya lwakatare na barua ya zitto kwa slaa kutaka lwakatare ajiuzulu ukurugenzi wa ulinzi na uhasama na ile picha ya mzungu wa TiGo anayeiba nyaraka kuipa chadema
 
Hawa mwanahalisi b wao wamepewa nakala ya hiyo barua au wanatuletea habari za wanasiasa za kuzushana kibua.
 
suala la kesi ya lwakatare linakitesa na kukitafuna chama mno, kinahaha kila kukicha kinakuja na uzushi mpya
 
Yani unabishana na barua ya katibu mkuu wako? Sitashangaa siku chama kingine kikiingia ikulu utaendelea kubisha na kusema si kingine kilichopo ikulu bali ni ccm,lkn ni sawa siku hizi magamba hawana hoja hata wkielezwa ukweli wanabisha km yanayotokea mtwala
Soma kwanza ukielewe nilichokiandika halafu upate kuelewa nini cha kuandika.

Iko wapi barua ya Katibu Mkuu wa CCM hapo au quotation za mtu wa tatu wa akili ya ki-BAVICHA BAVICHA zimekuwa nazo ni barua.

Tatizo unasumbuliwa na mawazo ya ki-BAVICHA BAVICHA.
 
Maongezi yenu ya matukio ya kufikirika ambayo mmnayafanya kwenye vijiwe na vilabu vya pombe, msiyalete hapa na kutaka kutuaminisha kama ndiyo mkakati kitaifa.

Mkakati wa kuhujumu uko wapi hapo zaidi ya mapendekezo ya CCM yaliyopelekwa kwenye wizara inayohusika na usimamizi wa serikali za mitaa.MiCHADEMA niya ajabu kweli. Badala ya kupeleka mapendekezo yao, badala yake inaanza kulia lia na kulalamika.

Hizi preemptive reasoning zenu za kujiandaa baada ya kunyolewa kwenye sanduku la kura hata hazitosaidia.

Kuwapa watu muda wa 14 days kujiandikisha badala ya 7 days kwenu ni mkakati wa kuhujumu uchaguzi?. My foot.

Kapige mswaki unanuka!

kumbe ni katibu mkuu aliyesimamia haya!? Lakini mzee Kinana wewe mbona unafanya mambo haya!
 
Nilifikiri Katibu Mkuu CCM Ungetafuta Kiini Cha Mgogoro, Kisha utumie nafasi yako kuutatua mgogoro badala ya kuwatenga maskini waalimu katika nchi yao!
 
Binafsi nilipata taarifa kama miezi 6 iliyopita kutoka kwa mmoja wa viongozi wakubwa serikalini, ambaye alidai kwamba kulikuwa mkakati batili wa kuarisha uchaguzi wa serikali za mitaa/vijji mwaka 2014 kwa hoja kuwa serikali haina fedha za kutosha za kuuendesha uchaguzi huo. Lengo likiwa ni kuepusha aibu ya ccm kushindwa vijiji vingi na hivyo, kusababisha athari kubwa na mbaya kwenye uchaguzi wa 2015 kwa upande wa CCM.
kwa mujibu wa mtonyaji wangu,tatizo kubwa la mpango huo ni kama serikali itaeleweka kwa wananchi huku wakitarajia vyama vya upinzani kuupinga mpanga huo kwa kusema kuwa ccm wameogopa uchaguzi, kitu ambacho mtoa taarifa wangu anasema kingewaathiri zaidi badala ya kuwasaidia.

Hata hivyo, taarifa ziliandikwa ktk gazeti maarufu kufichua habari nzito nzito la mawio la Kila wiki (kila alhamisi) inayoonesha kuwa, mkakati wa kuahirisha uchaguzi unawatatiza na badala yake gazeti limefichua mikakati kadhaa batili yenye lengo kuhakikisha ccm inashinda uchaguzi huo kwa gharama yo yote. Gazeti lilimuuliza Tundu Lissu kuhusu Mikakati hiyo, naye akakiri kuifahamu vizuri.

Mikakati hiyo ya ccm ni pamoja viongozi wake kuandika kimya kimya barua (waraka?) yenye kumb No CMM/OND/626/VOL.111/44 kwenda ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI wakipendekeza mambo kadhaa ambayo ni dhahiri yanalenga kuhujumu uchaguzi huo. Mapendekezo hayo batili ni kama yafuatavyo;
A) CCM wamependekeza waalimu wasisimamie uchaguzi wa vitongoji na serikali za mitaa/vjiji kwa madai kwamba walimu wana mgogoro na serikali kuhusu maslahi yao.
B) Wamependekeza wananchi waombe nafasi hiyo ya kusimamia uchaguzi kwa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ( yaani mkuu wa wilaya/mkoa) ambaye pia mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm ya wilaya/mkoa?
C) CCM wamependekeza udhamini wa wagombea utolewe na viongozi wa ngazi husika – mgombea kitongoji au mtaa/kijiji adhamiwe na viongozi wa chama chake wa ngazi hiyo.
D) CCM pia wamependekeza wasimamizi hao wa uchaguzi wasiwasaidie watu wasiojua kusoma na kuandika badala yake mawakala wa vyama watumike kuwasaidia.
E) CCM wamependekeza muda wa kujiandikisha uwe siku 14 ( siyo 7) na mpiga kura awe amekaa ktk eneo husika kwa muda usiopungua miezi 3.

Gazeti gazeti lilitaka maoni ya CHADEMA kwa Tundu Lissu ambaye alimshauri mwandishi kumtafuta katibu mkuu Dr Slaa kujua msimamo wa CHADEMA. Hata hivyo, Tundu Lissu alipoulizwa kama anajua waraka huo alijibu, tulipokamata nyaraka za akina Asha Rose Migiro, Nape Nnauye, Mwigulu za kuchakachua mchakato wa katiba mpya, vile vile tulikamata mkakati wao wa kuchakachua uchaguzi wa 2014. Tundu Lissu aliendelea kusema, tunajua mipango ya CCM kuhakikisha inashinda uchaguzi wa 2014 hata ikibidi kuchakachua kura. Akaendelea, CHADEMA ni chama kikubwa kaka, tunajua wanchokifanya hatua kwa hatua, wenzetu wamejiandaa kuvuruga uchaguzi wa vitongoji na vijijj.
Kwa mujibu wa gazeti hilo,Tayari katibu mkuu wa TAMISEMI ameshawaandikia barua makatibu wakuu wa vyama vyote akitaka watoe maoni ya kuboresha uchaguzi wa 2014. Hata hivyo, kuombwa kwa maoni hayo, ni mkakati wa maandalizi ya kuchomeka mapendekezo hayo ya ccm kwenye mchakato wa uchaguzi ujao wa serikali vitongoji na mitaa/vijiji.

Maswali ninayojiuliza;
Kitendo cha kutaka wasimamizi wa uchaguzi wa serikali wateuliwe na kada wa ccm kwa jina la mkuu wa wilaya siyo juhudi za wazi wazi za kuhujumu uchaguzi huo? Je, mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm wilaya yenye jukumu la kuhakikisha usalama wa ccm kisiasa ataacha kupendelea ccm kwa vile ni mkuu wailaya?

Pili, Kitendo cha ccm kutaka wagombea wadhaminiwe na ngazi husika, siyo kwamba ccm wanatarajia kuwa vyama vya upinzani havina uongozi ktk ngazi ya vijiji na vitongoji? Je huu siyo mkakati wa ccm kutaka kupita bila kupingwa kwa wagombea wa vyama vingine kukosa udhamini? Nadhani wamesahau kuwa CHADEMA iko mpaka ngazi ya vitongoji.

Tatu, Kwa nini ccm wanawakimbia walimu? Je, siyo kwamba CCM inataka uchaguzi huo usimamiwe na wananchi wa kawaida wakati lengo lao ni kuchomeka wanaccm kusimamia uchaguzi huo kupitia kwa kada wa ccm au mkuu wa wilaya ili waipendelee CCM?
Je CHADEMA tunapaswa kufanya nini kama jambo hili litatokea?

Nawasilisha.

sasa wewe aweda mdogo wangu unasema umepata taarifa kutoka kwa mtu mzito serikalini mimi nakwambia hapana kwanza kwa jinsi ulivyomkurupukaji huwezi kuwa na mtoa habari serikalni kwa sababu siyo mtu makini,pili hunamahusiano mazuri na jamii kwa maana hiyo siyo rahisi kupata ushilikiano toka kwa jamii,huu ni mwendo wa mfa maji aweda,rejea wale wadada wa plan kisalawe wanavyokubeza unaweza kutumia huo mfano mdogo na ukajitathimini.
 
Asante mkuu kwa kutujulisha mkakati wa mafisadi kuhujumu uchaguzi. Inatupasa hii awareness tuipeleke kila kata kila kijiji kila kitongoji kuliko kuzomea humu JF kwa sababu tuko vitani tena vita ni vikali kuliko tunavyodhani. Kila mmoja wetu ni jukumu lake kumjulisha japo mtu mmoja zaidi au hata kumi then uhalifu huu wa demoikrasia ukiwa wazi CCM watashindwa ila tukijua wachache watafanikisha azma yao mbaya. Tuukatae ka nguvu moja,
 
Wanasiasa wa namna hii ni bure kabisa kwa taifa,hawanamsaada kwa taifu
 
Binafsi nilipata taarifa kama miezi 6 iliyopita kutoka kwa mmoja wa viongozi wakubwa serikalini, ambaye alidai kwamba kulikuwa mkakati batili wa kuarisha uchaguzi wa serikali za mitaa/vijji mwaka 2014 kwa hoja kuwa serikali haina fedha za kutosha za kuuendesha uchaguzi huo. Lengo likiwa ni kuepusha aibu ya ccm kushindwa vijiji vingi na hivyo, kusababisha athari kubwa na mbaya kwenye uchaguzi wa 2015 kwa upande wa CCM.
kwa mujibu wa mtonyaji wangu,tatizo kubwa la mpango huo ni kama serikali itaeleweka kwa wananchi huku wakitarajia vyama vya upinzani kuupinga mpanga huo kwa kusema kuwa ccm wameogopa uchaguzi, kitu ambacho mtoa taarifa wangu anasema kingewaathiri zaidi badala ya kuwasaidia.

Hata hivyo, taarifa ziliandikwa ktk gazeti maarufu kufichua habari nzito nzito la mawio la Kila wiki (kila alhamisi) inayoonesha kuwa, mkakati wa kuahirisha uchaguzi unawatatiza na badala yake gazeti limefichua mikakati kadhaa batili yenye lengo kuhakikisha ccm inashinda uchaguzi huo kwa gharama yo yote. Gazeti lilimuuliza Tundu Lissu kuhusu Mikakati hiyo, naye akakiri kuifahamu vizuri.

Mikakati hiyo ya ccm ni pamoja viongozi wake kuandika kimya kimya barua (waraka?) yenye kumb No CMM/OND/626/VOL.111/44 kwenda ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI wakipendekeza mambo kadhaa ambayo ni dhahiri yanalenga kuhujumu uchaguzi huo. Mapendekezo hayo batili ni kama yafuatavyo;
A) CCM wamependekeza waalimu wasisimamie uchaguzi wa vitongoji na serikali za mitaa/vjiji kwa madai kwamba walimu wana mgogoro na serikali kuhusu maslahi yao.
B) Wamependekeza wananchi waombe nafasi hiyo ya kusimamia uchaguzi kwa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ( yaani mkuu wa wilaya/mkoa) ambaye pia mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm ya wilaya/mkoa?
C) CCM wamependekeza udhamini wa wagombea utolewe na viongozi wa ngazi husika – mgombea kitongoji au mtaa/kijiji adhamiwe na viongozi wa chama chake wa ngazi hiyo.
D) CCM pia wamependekeza wasimamizi hao wa uchaguzi wasiwasaidie watu wasiojua kusoma na kuandika badala yake mawakala wa vyama watumike kuwasaidia.
E) CCM wamependekeza muda wa kujiandikisha uwe siku 14 ( siyo 7) na mpiga kura awe amekaa ktk eneo husika kwa muda usiopungua miezi 3.

Gazeti gazeti lilitaka maoni ya CHADEMA kwa Tundu Lissu ambaye alimshauri mwandishi kumtafuta katibu mkuu Dr Slaa kujua msimamo wa CHADEMA. Hata hivyo, Tundu Lissu alipoulizwa kama anajua waraka huo alijibu, tulipokamata nyaraka za akina Asha Rose Migiro, Nape Nnauye, Mwigulu za kuchakachua mchakato wa katiba mpya, vile vile tulikamata mkakati wao wa kuchakachua uchaguzi wa 2014. Tundu Lissu aliendelea kusema, tunajua mipango ya CCM kuhakikisha inashinda uchaguzi wa 2014 hata ikibidi kuchakachua kura. Akaendelea, CHADEMA ni chama kikubwa kaka, tunajua wanchokifanya hatua kwa hatua, wenzetu wamejiandaa kuvuruga uchaguzi wa vitongoji na vijijj.
Kwa mujibu wa gazeti hilo,Tayari katibu mkuu wa TAMISEMI ameshawaandikia barua makatibu wakuu wa vyama vyote akitaka watoe maoni ya kuboresha uchaguzi wa 2014. Hata hivyo, kuombwa kwa maoni hayo, ni mkakati wa maandalizi ya kuchomeka mapendekezo hayo ya ccm kwenye mchakato wa uchaguzi ujao wa serikali vitongoji na mitaa/vijiji.

Maswali ninayojiuliza;
Kitendo cha kutaka wasimamizi wa uchaguzi wa serikali wateuliwe na kada wa ccm kwa jina la mkuu wa wilaya siyo juhudi za wazi wazi za kuhujumu uchaguzi huo? Je, mjumbe wa kamati ya siasa ya ccm wilaya yenye jukumu la kuhakikisha usalama wa ccm kisiasa ataacha kupendelea ccm kwa vile ni mkuu wailaya?

Pili, Kitendo cha ccm kutaka wagombea wadhaminiwe na ngazi husika, siyo kwamba ccm wanatarajia kuwa vyama vya upinzani havina uongozi ktk ngazi ya vijiji na vitongoji? Je huu siyo mkakati wa ccm kutaka kupita bila kupingwa kwa wagombea wa vyama vingine kukosa udhamini? Nadhani wamesahau kuwa CHADEMA iko mpaka ngazi ya vitongoji.

Tatu, Kwa nini ccm wanawakimbia walimu? Je, siyo kwamba CCM inataka uchaguzi huo usimamiwe na wananchi wa kawaida wakati lengo lao ni kuchomeka wanaccm kusimamia uchaguzi huo kupitia kwa kada wa ccm au mkuu wa wilaya ili waipendelee CCM?
Je CHADEMA tunapaswa kufanya nini kama jambo hili litatokea?

Nawasilisha.
Aweda, hivi nayo unaita njama za siri za ccm? Wewe ni mtu wa wapi? Kwa mtazamo wangu, hiyo si njama za ccm bali ni maoni ya ccm kutokana na maombi ya katibu mkuu TAMISEMI. Ccm wamerespond postively, chadema wamezunguka mlango wa nyuma nakuwahadaa makatibu muktasi na watu wa registry ili wapate maoni ya ccm ili wao waone pa kuanzia. Wamefanikiwa kupata maoni hayo na sasa wanapandikiza chuki kupitia kwa kubenea kwenye gazeti lake la MAWIO kuchapa dondoo za maoni ya CCM na kubatiza jina la njama za ccm kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa. Serikali mbona mnacumilia madudu kama haya? Kwa nini mnaliacha gazeti la mawio linaanza kutumia uhuru wa habari. Lipigwe ban ya maisha kama lile la wanahaisi. Kubenea si mtu mwema hata kidogo. Ni kama mwanamke mbeya vile kazi kuchonganisha wanandoa. Wananchi wako busy na maisha yeye anataka kila muda wawaze upuuzi wake tu
 
Kwa hiyo issue kwako unataka barua yenyewe na wala sio nukuu ya maudhui ya barua na hapo utajadili? Are you okay? Naona unakwepa tu hoja, lakini Hakuna shida kuna mdaku atarusha tu copy ya hiyo barua humu JF, then tuone namna utakavyojadili, lakini nahisi bado utadai huiamini maana huenda imegushiwa!!!

Ni kweli CCM ina taratibu zake, lakini barua imeshavuja na hivyo sio siri tena, na kikubwa JF ni social media na tunatumia ID na wala sio majina yetu halisi, we can dare to talk openly, so why are you afraiding to talk? Posho itakatwa?

ukitaka kujua kwamba kunauongo wala hutumii akili nyingi wewe ulishaona wapi barua ya ccm inavuja halafu anaenda huhojiwa mtu wa chadema huu mpango wa kutengeneza au maka upelekwe darasani ndipo uelewe.
 
Aweda, hivi nayo unaita njama za siri za ccm? Wewe ni mtu wa wapi? Kwa mtazamo wangu, hiyo si njama za ccm bali ni maoni ya ccm kutokana na maombi ya katibu mkuu TAMISEMI. Ccm wamerespond postively, chadema wamezunguka mlango wa nyuma nakuwahadaa makatibu muktasi na watu wa registry ili wapate maoni ya ccm ili wao waone pa kuanzia. Wamefanikiwa kupata maoni hayo na sasa wanapandikiza chuki kupitia kwa kubenea kwenye gazeti lake la MAWIO kuchapa dondoo za maoni ya CCM na kubatiza jina la njama za ccm kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa. Serikali mbona mnacumilia madudu kama haya? Kwa nini mnaliacha gazeti la mawio linaanza kutumia uhuru wa habari. Lipigwe ban ya maisha kama lile la wanahaisi. Kubenea si mtu mwema hata kidogo. Ni kama mwanamke mbeya vile kazi kuchonganisha wanandoa. Wananchi wako busy na maisha yeye anataka kila muda wawaze upuuzi wake tu

Kipi ni uchochezi kati ya contents za barua ya ccm na yaliyoandikwa na mawio?
 
Wawalipe walimu madai yao!.

Kwanza sijui watawatoa wapi wasioidai serikali labda wasiojitambua tu!.

1.Kuna wanaodai malipo ya korosho!

2.Kuna wanaodai visima vya maji!

3.Kuna wanaodai ardhi wanayonyanganywa ya kuchugia mifugo yao!.

4.Kuna wanaodai barabara!

5.Kuna wanaodai meli!.

6.Kuna wanaodai gesi yao isichukuliwe!

7.Kuna wanaodai malipo ya iliyo kuwa jumuiya ya Afrika Mashariki!.

Madai ni mengi mno hawataweza kumpata hata mmoja labda wao na koo zao tu!.
 
Back
Top Bottom