Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,085
kijana ndoa yako bado changa tamu na nzuri nyumba ndogo ya nini? waachie wakongwe wenye kila aina ya vibweka na visa, una kamke kazuri kapotabo kenye kukujali sana na kanakojua nini maana ya ndoa halafu wewe unahangaika na kuweweseka na nyumba ndogo, tayari ushaipangia upande wakati wewe mwenyewe bado hakijaeleweka
Mthamini mpende, mjali, mkeo mlinzi wa roho yako anakupenda mpende sana before it is too late
Mthamini mpende, mjali, mkeo mlinzi wa roho yako anakupenda mpende sana before it is too late