Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

Mkuu, hizo ni hisia zako tu ila ukweli unabaki kwamba TRA wanakusanya mapato kwa kuvuka malengo yao
MALENGO YAPI KAKA WAKATI TAKWIMU HAZIJWAHI KUSIMAMA SAWA..! MAANA KILA MWEXI KUNA KUNA KUWA NA MABADILIKO..! LAKN PIA KUMBUKA LENGO LIKIWEKWA HATUAMBIWI NI ASILIMIA NGAPI HAYA MANENO YA TUMEVUKA LENGO HUJA BAADA HAPA KUNA SIASA..! WATANGAZE MALENGO YAO HATA YA MWAKA WATU TUWE NA TAKWIMU ALAFU TUWE TUNALINGANISHA KILA MWEZI CO WATU WANAJIFUNGIA NDANI ALAFU WAKITOKA WANAANZA KUIMBA "TUMEVUKA LENGO" HAPA KUNA KITU GANI KINAWEZA KUWA KIELELEZO CHA WATU KUAMINI..???
 
TUNASUGUA NA KUISOMA WOTE MBONA MKUU..!
Roho mbaya zenu hizi ni laana ya kubadili gia angani inawatafuna.


Na bado mtanyooka tu.

Lkn mkae mkijua Magufuli ni habari nyingine na watanzania Wenye mapenzi mema na nchi hii tuko nyuma yake
 

Mkuu, mapato yamefikia 1.4 trilion kwa mwezi June 2016. Vipi yameongezeka au yamepungua.

Kipi ni kizuri kwako, yashuke au yakipanda.

Kuna akili zingine za ajabu sana, inaelekea unafurahi sana ukiona yanshuka.
 

Weka TRA Revenue Report ya june ndio nitaamini otherwise ni porojo tu hizo
 
Mtu anaeiombea mabaya nchi yake ni zaidi ya mchawi
 
mapato yakipungua ukawa wanashangilia. yakiongezeka wanasema ni makusanyo ya madeni ya nyuma na adhabu.
 
Mkuu sasa ndiyo tunaona na kuamini kuwa ilikuwa ni nguvu ya soda
 
Mkuu, mapato yamefikia 1.4 trilion kwa mwezi June 2016. Vipi yameongezeka au yamepungua.

Kipi ni kizuri kwako, yashuke au yakipanda.

Kuna akili zingine za ajabu sana, inaelekea unafurahi sana ukiona yanshuka.
ya kupikwa. reality will catch up with you people soon!

I worriedly smell our own "Nkurunziza" in the making.
 
Endeleeni kujiaminisha hilo. Mtasugua sana maana Magufuli ni Rais hadi 2025
Tunasugua wote bila kujali rangi za chama, na walio wengi ni kijani jembe na nyundo ndio wanaipata
 
Sasa waje watwambie bilioni 400 zimekwenda wapiii?? Na kwa jinsi mambo yalivyo tutafika hata makusanyo ya bilioni 800,biashara zinakufa sana
Hiyo haipo mbali na usishangae watakwambia kuwa ukawa ndio wameombea mapato kushuka
 
Mbona ttz inaongeza idadi ya mataila wengi kama nyie? Kisa kikwete alikaa had 2015 so ni haki magu akae 2025? Wewe unajua hta maana ya "haki" kweli????

Kwanza hoja apa ni mapato kushuka msianze kupotezea mada husika.
Mapato ya june 1.4trl Leta jingine au uufyate.
 
Tunataka makusanyo ya mwrzi wa sita na siyo ngonjera
 
Sasa kuna hoja gani hapo? Hata kama tutakusanya bilioni 200 si ndiyo mapato ya mwezi? Kikubwa zaidi ni namna fedha hizo zitakavyotumika
Nimwendo wa kurudi chini tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…