Erythloblastosis
Member
- May 29, 2016
- 47
- 30
Kwa hiyo vigezo vya kitaalam vya uchumi vinaonyesha uchumi umeporomoka kwa hiyo mapato yameshuka?Tatizo lako elimu elimu elimu..
Ujuaji ndio shida yenu ufipa hadi mnafanya utabili mambo ya uchumi bila kutoa data za kiuchumi...
Malengo ya ukusanyaji yanawekwa kwa kufuata vigezo vya kitaalam vya kiuchumi na sio kuwa wanaamka asubuhi wanasema mwezi huu tukusanye trilion 1.
ApTatizo kubwa linalotuponza Watanzania ni uvivu wa kufikiri unaoambatana na ushabiki potovu. Kama TRA wamekusanya Trillion 1.03 kutoka Trillion 1.35 ya mwezi January iweje tuone hayo ni Mafanikio ? Tatizo hapa nikuwa Serikali inatuambia kuwa hii nchi ni tajiri sana lakini makusanyo ya kodi yanarudi kule kule kwa awamu ya JK ambako wanadai kulikuwa na uzembe katika kukusanya kodi. Sasa hapa badala ya wananchi kuchukua tahadhali, wapo watu wanafanya ushabiki kwa kupotosha ukweli.
Acha kunywa pombe , nikwamba ujui au unania fiche ili kuwachanganya watu, ukitaka kudaganya watu jidanganye ww mwenyewe kwanza , mbona hata ww kujidanganya haujajidanganyaKumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano.Ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900. Tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi?
Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za Kikwete kwenye kukusanya mapato na aamke nimuone.
Kenya bajeti trillion 55 ya Mwendokasi ya kufikirika 29Mkuu, hizo ni hisia zako tu ila ukweli unabaki kwamba TRA wanakusanya mapato kwa kuvuka malengo yao
Tatizo lako elimu elimu elimu..
Ujuaji ndio shida yenu ufipa hadi mnafanya utabili mambo ya uchumi bila kutoa data za kiuchumi...
Malengo ya ukusanyaji yanawekwa kwa kufuata vigezo vya kitaalam vya kiuchumi na sio kuwa wanaamka asubuhi wanasema mwezi huu tukusanye trilion 1.
Kumbe unahisi na kuombea hayo!! Mi nikajua kuna utafiti na pia tra wamesema!!Kumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano.Ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900. Tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi?
Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za Kikwete kwenye kukusanya mapato na aamke nimuone.
Weka facts hapa, sio kutumia hisia za chuki.Hali inaelekea hivyo....sio maombi wala sala....ni uhalisia
Hizi ramli za chagadema tulishazizoea tokea mwezi January.Kumekuwa na maporomoko makubwa ya mapato ya TRA kutoka trilioni moja na bilioni mia nne Mwaka Jana wakati serikali ya awamu ya tano inaingia madarakani mpaka trilioni moja mwezi wa tano.Ni wazi mwezi wa sita TRA watatangaza mapato ya bilioni 900. Tunarudi kulekule kwa JK.
Ni ishara kwamba JK hakuwa mzembe bali mapato yalienda na upepo wa biashara,mwanzoni tuliaminishwa kwamba kuna wizi sijui wapi,sasa mbona na udhibiti wote ndani ya miezi sita mapato yameshuka kwa bilion 400? Zinakwenda wapi?zimepotelea wapi?
Kuna mtu Mwenye ubavu wa kuzikosoa jitihada za Kikwete kwenye kukusanya mapato na aamke nimuone.
Endeleeni kujiaminisha hilo. Mtasugua sana maana Magufuli ni Rais hadi 2025
Kweli kabisaNdio maana nimesema wanatudanganya wakisema wanavuka lengo.Wanatakiwa kutumia makusanyo ya mwezi uliopita kama kiwango chao cha chini.
Na bado awatoi mchanganuo wa mwezi uliopita kwa kusema mwezi uliopita tulikusanya kiasi ichi na mwezi huu tumekusanya kiasi ichi, na tofauti ni kiasi flani.Na waseme makusanyo yamepungua au yameongezeka.