Mapato ya TRA mwezi Juni yatashuka

Watu hawafati mzigo tena....wadada wa hotel wanatemeshwa Kazi balaa....hoteli zimeathirika sana....hata return za mwezi wa sita TRA zitakuwa za hovyo kuliko zote

Lkn Mkuu hawa jamaa hawashindwi kujitekenya na kujichekesha. Wanaweza kupika data na kutusomea figure inayofurahisha masikio. Muda utaongea.
 
Malengo yanapangwa kabla ya mwaka mpya wa bajeti, sasa wewe unayesema yanadidimia sijui unatumia akili gani, lengo la TRA hadi la June 2017 litakuwa rasmi siku wanayopitisha bajeti, ujuaji mwingi halafu kichwani hamna kitu.
Lengo la kila mwezi ni tofauti na la mwaka wa bajeti
 
Teh teh! Lumumba wenyewe walevi na mada hii imeletwa usiku sijui kama wataleta cha maana. Rutashobya ameamka kwenye usingizi wa lubisi na nkanja akaanza kutukana, lizaboni ndo kabisa aelewi.
Me Rutashobya alinichekesha mkoa anaotoka watu wanashidwa ata mlo mmoja yeye yuko Jamii forum anapigania chama Ndugu zake wapo kwenye dimbwi la umaskini wa kupindukia
 
Nilidhani nimeona mimi tu lakini kama meli hazipo manayake hatuagizi tena aidha kwa shinikizo la ndani la kibiashara au mzunguko umekufa!! na asikuambie mtu biashara ina principle zake mfn nilisikia sukari ilikamatwa ikagawiwa taasisi za serikali bure hii manayake nini ?manayake mtaji umekufa kifo cha lazima na hapo hata ile kodi ya kubabaishia nayo imekufa vilevile lakini hilo pia nalifananisha na TCU na st joseph!! wazazi wamekamuliwa milioni kibao na mwisho TCU imewakana wanafunzi lakini pia ilitoa baraka zk kabla nani anawafidia wazazi serekali imejitoa !!lakini deci ilizaliwa na nani chini ya baraka za nani kwakua naamini km TRA wanafika kukata kodi manayake haikua siri leo bilioni kibao zimemezwa kifupi inachosha kufikria haya bora kucheza bao chini ya mnazi!!!
 
Me Rutashobya alinichekesha mkoa anaotoka watu wanashidwa ata mlo mmoja yeye yuko Jamii forum anapigania chama Ndugu zake wapo kwenye dimbwi la umaskini wa kupindukia
Jamaa wanakula viwavi tu...migonba ina mnyauko na hakuna kauli thabiti kutoka serikali ya rutasshobolwa
 
Siku hizi utabiri umezidi , toa ' analysis ' za mapato kushuka mwezi unaoutaja!!
ninekupa graph ya kuanzia serikali ya awamu ya tano ilipoingia madarakani....mapato yalikuwa juu sana...kwa sasa graph mstari wake umezama na muda si mrefu hatutauona tena
 
Hii mada ya kuombea serikali ishindwe kukusanya mapato huwa lazima iletwe hapa jukwaani kila mwezi na kila mwezi lazima waumbuliwe....kama unavyomuumbua huyu barvicha.
 
Tuanze kusubiria mapato ya July....kwenda mbele! Baada bajeti hewa!!
 
Kabla ya matumizi kinachotangulia ni bajeti nyie vijana wa chadema mnafuata wanachosema viongozi tu hata kama ni uzushi
 
Hii mada ya kuombea serikali ishindwe kukusanya mapato huwa lazima iletwe hapa jukwaani kila mwezi na kila mwezi lazima waumbuliwe....kama unavyomuumbua huyu barvicha.
Hoja ni kwamba...kila mwezi mapato yanashuka tangy serikali ya awamu ya tano iingie madarakani,walianza na trilionj moja na bilioni mia nne ,leo wanakusanya trilioni moja,maana take kuna upungufu wa bilioni 400 ndani ya miezi sits katika makusanyo.....
 
Hii mada ya kuombea serikali ishindwe kukusanya mapato huwa lazima iletwe hapa jukwaani kila mwezi na kila mwezi lazima waumbuliwe....kama unavyomuumbua huyu barvicha.
Mapato yalianza trilioni moja na bilioni 400 wakati serikali inaingia madarakani,Leo mwezi wa tano yametangazwa kuwa ni trilioni moja ....ukusanyaji una upungufu wa bilioni 400
 

Wew ni mchawi nini ,kawange sasa kutwa nzima unashinda huku ,kupiga ramla nani atafariki
 
Mkuu, hizo ni hisia zako tu ila ukweli unabaki kwamba TRA wanakusanya mapato kwa kuvuka malengo yao
Ukichukua Property tax ya Halmashauri uksipeleka TRA unajifumba tu na kuwazuga watanzania. Hujaongeza kitu
 
Never compare numbers in your life...Compare proportions....

Usilinganishe namba hata siku moja utaishia kwenye hitimisho bovu kama hili mnalotaka kulazimishia...linganisha asilimia ....kwa wana takwimu wanalielewa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…