Tatizo lako wewe hayawani huoni ukweli wa maovu yanayofanywa na huyo nduli. Kudharau katiba, mahakama, bunge. Watanzania, kudhulumu wakulima, wafanyakazi, kukwapua hazina 2.4 trillions na kugomea uchunguzi huru, kutumia trillions kununua ndege na kujenga airport na kugomea CAG Assad kufanya audit kwa sababu kishakwapua nyingine. Wafanyakazi, wakulima, machinga na wafanyabiashara nchini wote wanalia, wananchi nchi nzima wanalia lakini JUHA wewe na MAJUHA wenzako wote hamyaoni maovu ya huyo aliyelaaniwa na Mwenyezi Mungu.