Mapambio ya Pascal Mayalla

Kama akitafutwa Mtanzania mwenye high level of Sanctimoniousness Namba Moja huyo anaweza akawa anaongoza kwa kila Mwaka hadi Tanzania itakapopinduka tena ambapo Yesu Kristo wa Nazareth aliye hai atakapokuja tena Kutukomboa.
Mkuu imebidi nigoogle dah!

Au cha arusha umesokotea kwenye karatasi ya kamusi!!

High level of hypocrisy / devout hypocrite
 
Mayala hawezi pewa cheo chochote maana file lake kule ikulu linanuka usaliti yeye na zitto kabwe wamekuwa wakiichafua nchi kupitia jarida la The Economist wameandika makala nyingi za kuichafua nchi na JPM
 
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
REA yupo kama Engineer wa umeme au MC? Fafanua
 
Mimi simtukani lakini niliishamdharau siku nyingi, anatafuta nafasi lakini anaweza kupoteza sehemu zote.
 
Ha haa! Kweli maisha ni bahati. Jelly Mulo kapiga kelele wiki moja tu, kaukwaa ukuu. Huyu Mayalla kapiga kelele miaka na miaka lakini Hollah!
Una hakika gani hajakwaa ukuu ulio mzito kuliko alioukwaa Jelly Mulo... mbona nimelipenda hili jina! Kumbuka yawezekana kuna vyeo visivyoonekana wala kujulikana.
 
We
Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.

We jamaa una matusi sana, naangalia post zako zote hakuna ambayo itakosa neno la kuudhi, hivi ulilelewa na wazazi wawili kweli, au ndo wale watoto wa mtaani wasio mjua baba? Kila anaeenda kinyume na wwe lazima umtukane, sasa mayara ukaragosi wake upo wapi, pale yupo kazini matusi ya nni? Pole kama nimekuudhi
 
Demokrasia ni nini. Je mtu akiamua kuwa Chadema ndo mtu zaidi kuliko anayekuwa CCM? Mwisho wa siku mnaonekana mapungasese kwa haya myaandikayo. Always anti demokrasia. Ant uhuru wa kujieleza wa wengine. Na mtu akiwa chadema au CCM lazima kuna siku atasema mapungufu ya chama chake. Haimfanyi kuwa nusu mwanachama. Mmefilisika sana. Mmekuwa kama ...... Mayalla mnamsema kwa kuwa hajajificha lakini nyie hatujui nyimbo gani mnaimba huko kupata ugali wenu wa kila siku. Aibu kubwa
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
 
Mayalla anasumbuliwa na njaa sana ukiangalia na umri ndiyo hivyo unamuwacha.
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
 
Ukizingatia naye anatoka kule mwanza sasa inamuuma anapo muona DAB anakubalika kwa malaika
Wengi tumemshastukia huyu kikaragosi wa nduli katika juhudi zake za kusaka teuzi. Chezeya njaa Mkuu! Njaa ni kitu kibaya sana kwa watu wasiojitambua na kutokuwa na msimamo.
 
Loh! Nimekuona leo katika maonyesho ya sabasaba na REA. Mapambio uliyoimba ya kuifagilia awamu ya tano ya JPM nikakuona kuwe kweli kumbe wito wa Bunge ulikukengeuza! Ukasema iungwe mkono 100 kwa mia! Mayalla ni Njaa!
Huuu ndo msimu wa mavuno kwa muheshimiwa mayalla, Hilo lizingatiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…