Mapambano dhidi ya ufisadi: Uganda waonyesha njia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapambano dhidi ya ufisadi: Uganda waonyesha njia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwita Maranya, Jan 9, 2012.

 1. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Kamati ya bunge ya maadili nchini Uganda imetangaza kuwasilisha bungeni hivi karibuni muswada utakao muwezesha mwananchi yeyote mwenye ushahidi wa ufisadi uliofanywa na kiongozi yeyote, aweze kuruhusiwa kumshtaki.

  Muswada huo utailazimisha serikali kumpatia mwananchi huyo usaidizi/ushirikiano wowote atakaouhitaji ili kukamilisha upelelezi au ushahidi wake.

  Na itakapotokea serikali imefanikiwa ku recover fedha iliyokuwa imefisadiwa, mwananchi huyo atajipatia 25% ya fedha hiyo.

  Source:BBC

  MYTAKE.
  Sheria ya namna hiyo itatufaa sana hata hapa Tanzania. Hawa mafisadi wanaoitafuna nchi hii hadi jeshi la polisi linasema hawakamatiki tutaweza kuwashughulikia.
   
Loading...