KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,319
Ivi inakuaje ukimwona msichana aliyevaa kwa heshima afu kwa bahati mbaya ukaona paja lake karibia na maeneo nyeti, mzee mzima unakua mkubwa ghafla.
Lakini mwanamke huyohuyo akivaa bikini akapitambele yako mfano wakati wa mashindano ya umisi au kuogelewa,,husimamishi kiviile?
mmh!!!! red monday!
Bado kuna mnao zuzuka na mapaja? Mi nlishaacha nikiwa darasa la sita!
Hayanaga hata stim haya mabonge nyanya
tunadi nda.Nalog offNiliwahi kusoma uzi mmoja hapa kabla sijajiunga ulikuwa ukiwahoji wanaume kuwa, hivi wakiona uchi wa mwanamke wanapata nini?
Hivi walijiibu nini vile!?
KakaJambazi hapa vipi???