Mapadre/mashehe/wachungaji: Mmemsikia Lusekelo?

Antony Lusekelo (Mzee wa upako) anawauliza hivi:
1. Mchakato wa Katiba mpya mlionekana kurasa za mbele za magazeti na kofia (viongozi wa dini kubwa kubwa-kwa maneno yake) , sasa watu wnakufa mbona hamkemei wanaoua watu kwa kudai posho na mishahara- Maandiko yanasema madaktari wana ruhusa ya kuua?
2. Kuna tofauti gani kati ya wauaji wa albino wanaoua li kupata fedha na madaktari wanaoua ili nao kupata fedha?
3. Kuna tofauti gani kati ya jambazi anayeua kupata fedha na madaktari wanaoua kupata fedha?
Source: channel Ten 8/02/2012 at 9.30 PM

Maaskofu/ Mashehe mjibuni.

Imani inahusu mambo yanayomgusa mtu. Je, yeye kafanya nini, kawafufua waliokufa?
 
aache kuzuga... yeye ndo amesababisha madaktari wagome kwani
anawabana sana waumini wake kwenye sadaka. wakitoa kidogo analalamika
mpaka kwenye tv anaandika a/c no. sasa zitaongezekaje kama kwenye chanzo
hazikuongezeka, au anataka watoto wafe njaa?
 
Antony Lusekelo (Mzee wa upako) anawauliza hivi:
1. Mchakato wa Katiba mpya mlionekana kurasa za mbele za magazeti na kofia (viongozi wa dini kubwa kubwa-kwa maneno yake) , sasa watu wnakufa mbona hamkemei wanaoua watu kwa kudai posho na mishahara- Maandiko yanasema madaktari wana ruhusa ya kuua?
2. Kuna tofauti gani kati ya wauaji wa albino wanaoua li kupata fedha na madaktari wanaoua ili nao kupata fedha?
3. Kuna tofauti gani kati ya jambazi anayeua kupata fedha na madaktari wanaoua kupata fedha?
Source: channel Ten 8/02/2012 at 9.30 PM

Maaskofu/ Mashehe mjibuni.

ukijibizana na mjinga nawe utaonekana mjinga. Ukifukuzana na kichaa nawe watu watadhani kichaa.
 
Naona huyo anacheza na elimu za watu. Je yeye analipa kodiiii kwa sadaka yake aipatayo?????????????? Kama sio anapunguza wigo wa kodi serikalini na ndo maana serikali inakosa pesa za kulipa wafanyakaz wake.......... Isitoshe madaktar wamesota bana miakaaaa ya masomo ndo kuwa professional
 
Back
Top Bottom