Mapacha Watatu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapacha Watatu....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shinto, May 23, 2011.

 1. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #1
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Siku za karibuni kumekuwa na sakata linaloendelea juu ya kile kilichokuwa CCJ.
  Kuna makundi matatu makubwa yanahusika hapa. Ninachoshindwa ni kufahamu uhusiano wa makundi haya; kwa sababu wana maslahi yanayotofautiana.

  1. Kuna mapacha watatu (watuhumiwa wa ufisadi). Hawa ni kundi liliolokuwa na nguvu katika serikali ya kikwete lakini likaharibu! Sihitaji kueleza kwa undani kwani kila mtanzania analifahamu. kwa siku za karibuni CCM imekuja na sera ya kujivua magamba, kwa tafsiri ya nje ni kuliondoa kundi hili kwenye political arean!
  2. Kuna mapacha watatu wengine ambao walikuwa vinara wa kupambana au kupiga makelele ya ufidsadi ndani ya CCM. Hili kundi halikuwa na nguvu sana, na lilichapwa demotion. Lakini wakaendelea kubaki CCM na madaraka fulani. Hili kundi linashutumiwa kuanzisha directly au indirectly CCJ.
  3. Kuna Chadema, hili lilizoa wale waliokuwa wanachama wa CCJ baada ya CCJ kukosa usajili wa kudumu. Kwa mtizamo walikuwa wanafanya kazi na kundi la pili kupambana na kundi la kwanza. Msisahau NAPE alishawahi kuonekana na pengine kuhutubia kwenye mikutano ya Chadema kwa spirit hiyo ya kupamabana na ufisadi.
  Ambacho sielewi ni kwanini Chadema sasa wana collude na kundi la kwanza la mapacha watatu wa ufisadi kuwaumbua kundi lapili ambao walikuwa ndio maswaiba katika makelele ya ufisadi?
  Au ndio paradigm shift? Au ndio ule unafiki wa wanasisa? Chukua mfano wa Marando, alikuwa sauti kuu ya mageuzi wakati wa NCCR, akamuondoa Mrema NCCR, akahamia CCM akapewa ubunge wa Afrika Mashariki, sas tena ni sauti ya ukombozi ndani ya Chadema!
  Kumbukeni pia kuwa CCM waliwahi kusema kuwa mapcha watatu wangetumia chama fulani cha upinzani ku-react juu ya hatua hii ya kuvuliwa magamba, je CDM ndio inatumika kwa kujua au bila kujijua?
   
 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 3. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #3
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo Chadema na Nape wakiwa damu damu...
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  May 23, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Jesuit.

  Mkuu ni kweli CHEDAMA wamekuwa mstari wa mbele kuwaponda Sitta,Nape na Dr Mwakyembe ajabu ni kwamba sasa hivi wanatumia hata vyombo vyao vya habari[Tanzania Daima] kuwatetea Lowassa,Rostam Azziz na A chenge.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  May 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Ishu ni kupata kura tu haijalishi nani wanamtetea

  Hapa ndio ujue siasa mchezo mchafu
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu wala huitaji kuuliza kuna ndoa chafu kabisa kati ya CDM na hawa watuhumiwa wakuu wa UFISADI hata haya maandamano naammini kabisa CDM wanapata mshiko kutoka kwa hawa mapacha watatu.
   
 7. Miya

  Miya JF-Expert Member

  #7
  May 23, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 817
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 180
  Chadema wana nia ya kuisambaratisha ccm kwa hyo huu ndo wakat wao.. Kwa maana hyo kama mapacha wakibak ccm chadema itafanikiwa kuisambaratisha ccm..
   
 8. Adu gida

  Adu gida Member

  #8
  May 23, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mi chadema naona kama wanamwenyekiti mwingine manake sehemu kubwa wanaonekana kuwapiga vita viongozi waliokua wahaminifu ila chadema 2ambieni ukweli mna2miwa
   
 9. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #9
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Naamini hapa kuna utatu usio mtakatifu!
   
 10. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #10
  May 23, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Miya wewe unaona mbali na una upeo wa kutosha waache hao watanzania wasio jua chadema wanafanya nini na wanataka nini kwa ajiri ya tz.
   
 11. m

  mgao wa umeme Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wewe ni fisadi- kavue gamba
  Kwanza muombe Marando radhi kwa kusema alirudi ccm na kupewa ubunge wa afrika mashariki, Marando alipata ubunge wa East Africa kwa kupitia NCCR-Mageuzi. (Usivue nguo mbele ya Dr. bila ya kuambiwa...........)
  Cha muhimu kwenye siasa ni kujenga hoja, CDM ni lazima itumie kila njia kuwalambisha ccm matapishi yao.
  Hakuna rafiki wa kudumu kwenye siasa hata wamarekani wanalijua hili na ndo kauli yao wakitaka kumnyoosha adui
  People's power, kanyaga twende
   
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,002
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  mnajadili msichokijua na mnaandika msichoelewa, poleni sana. bilashaka ndivyo wanamagamba walivyowatuma kuja kufanya JF.
   
 13. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  I think this is a strategy of 'divide and rule" CCM wanapambana wenyewe kwa wenyewe kwasababu ya CDM. Wamefikia mahala wanatoa siri zao, hii kwangu mimi naona kama ni dalili yakuishiwa nguvu. Hawana strategy kwasasa ni kuumbuana. I also believe ndani ya CCM kuna ambao hawakufurahishwa na position aliyopewa Nape kwasababu zao binafsi. Hivyo na wao wana-attack kivyao. It is just a mess. Weakness za CCM ni opportunity kwa CDM. CDM wanaelewa Sita's camp haipatani na RACHEL's camp kwahiyo kuwagonganisha kutazidi kukisambaratisha chama (CCM). Tatizo CCM kwasasa kila mtu ana-ajenda yake, very few are fighting for country's interest. Mwakyembe na Sita walivyoamua ku-fight ufisadi walitakiwa kuwa more bold. Kuna baadhi ya vitu hawakuvi-address hivyo wakawa wana-send mixed messages kwa wananchi.
   
 14. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nashindwa kuelewa hii comment. Ina maana wananchi wanavyoandamana na kubeba ujumbe wakilalamika ugumu wa maisha (umeme, mfumuko wa bei, rushwa etc) wanawatetea RACHEL??? God forbid lakini hawa RACHEL wakifa leo bado maandamano yataendelea mpaka wananchi wa Tanzania wapate huduma zao muhimu. !The message is clear; Tanzanian's are suffering.
   
 15. i

  ibange JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Big up nakubaliana nawewe.

  Issue ni kwamba CDM wanachofanya ni kuwagawa CCM kuhakikisha viongozi hawaaminiani ndani ya chama. Nimeipenda strategy yao. Watabaki kushughulikia magamba wakati CDM wanajipanga
   
 16. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi mnadhani kuwa CCM au Kikwete walikuwa hawajui kuwa wakina Sitta walikuwa wanasapoti CCJ? Hii iklijulikana wazi na kwa taarifa yenu ndio chanzo cha Sitta Kunyang'anywa Uspika. Nadhani mpendazoe kuropoka kwenye mkutano ule haikuwa strategy nzuri, wangeweza kuwatumia vizuri wakina Sitta kuliko sasa wamewafanya maadui zao! Strategy na EL RA? Hawa nadhani wanawatumia CDM zaidi na si kinyume chake!
   
 17. s

  sem2708 JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,093
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
   
 18. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  CCM mnalo hilo,msumari mumeukalia wenyewe, mtaleta kila theory kutaka kuichafua CDM lakini hamatafanikwa kwani hao RACHEL ndiyo wafadhili wenu wakubwa na pia wako kwenye list of shame. Mafisadi hawana nafasi CDM mahali wanapostahili kuwepo RACHEL ni jela tu.
   
 19. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hoja yako inakanganya huku mwishoni ila kifupi kwenye siasa ADUI WA ADUI YAKO MNASHIRIKIANA KWENYE MAPAMBANO.
   
 20. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona kwenye list of shame mapacha watatu wote wapo?kuhusu hao wengine wanaohusishwa na ccj Chadema inawataja ili kuwapa tahadhari wasiwe wanafiki na hawana nia madhubuti ya kupinga ufisadi.
  CDM falsafa ni ku twanga kote kote hakuna kumtazamaa mtu mazkunyanzi.
   
Loading...