Mapacha Watatu....

Mapacha Watatu....

Heshima kwako Jesuit.

Mkuu ni kweli CHEDAMA wamekuwa mstari wa mbele kuwaponda Sitta,Nape na Dr Mwakyembe ajabu ni kwamba sasa hivi wanatumia hata vyombo vyao vya habari[Tanzania Daima] kuwatetea Lowassa,Rostam Azziz na A chenge.

tanzania daima si mali ya CDM
mapacha hawatetewi na CDM
pERSONALLY MAPACHA wanaonewa manake kama ni UFISADI basi mpaka JK kahusika iwaje only waondolewe MAPACHA?
 
Heshima kwako Jesuit.

Mkuu ni kweli CHEDAMA wamekuwa mstari wa mbele kuwaponda Sitta,Nape na Dr Mwakyembe ajabu ni kwamba sasa hivi wanatumia hata vyombo vyao vya habari[Tanzania Daima] kuwatetea Lowassa,Rostam Azziz na A chenge.
mkuu Ngongo uko wapi?
 
Mi chadema naona kama wanamwenyekiti mwingine manake sehemu kubwa wanaonekana kuwapiga vita viongozi waliokua wahaminifu ila chadema 2ambieni ukweli mna2miwa
Wauliza?
 
Back
Top Bottom