Mapacha walioungana walipwa mshahara wa mtu mmoja

aisee huu ni muujiza kwa kweli

maisha yao ni funzo kubwa sana kwetu waja
 
Kila mmoja ana moyo wake, uti wa mgongo wa peke yake, mapafu ya peke yake, na pia kila mmoja ana tumbo lake na hula kwa wakati wake.
Mguu mmoja ni wa Abigail, na mguu mwingine ni wa Brittany. Na mikono pia, mkono mmoja ni Abigail na mkono mwingine ni wa Brittany
Kwa namna hii huwezi sema ni mtu mmoja.
Hyo mioyo hapo imekaaje
 
Hyo mioyo hapo imekaaje
1753688539702.jpeg

Viungo vyaoʻ vya ndani ni kama vinavyoonekana hapo.
Kila mmoja ana moyo wake.
 
Kila mmoja ana moyo wake, uti wa mgongo wa peke yake, mapafu ya peke yake, na pia kila mmoja ana tumbo lake na hula kwa wakati wake.
Mguu mmoja ni wa Abigail, na mguu mwingine ni wa Brittany. Na mikono pia, mkono mmoja ni Abigail na mkono mwingine ni wa Brittany
Kwa namna hii huwezi sema ni mtu mmoja.
Kwahiyo hadi kwenye haja wanasikia kwa mda tofauti
 
Back
Top Bottom