Je, huu ni uungwana? La hasha huu ni utwana

Je, huu ni uungwana? La hasha huu ni utwana

AskariKanzu

Member
Joined
Jul 25, 2025
Posts
38
Reaction score
146
Abby na Brittany ni mapacha walio ungana wana miaka 34, taaluma yao ni walimu wa shule ya msingi [elementary school grade 4].

Walimaliza chuo miaka 10 iliyo pita, kipindi wanasoma walikua wanalipa Ada ya chuo kila mtu kivyake asa hivi baada ya kupata ajira wanapokea mshahara wa mtu mmoja.

_20250726_210817.JPG
 
Back
Top Bottom