Maovu hawakutendewa Wapinzani pekee bali na wao wenyewe

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
110,051
2,000
Wewe Mungu hawezi kukuchua maana huna thamani kwake hakuna kizuri kinachodumu

Angalia wafutao Martin ruther junior,chacha wangwe, moringe sokoine , Raisi wa kwanza wa zanzibar , magufuli john pombe raisi wa wanyonge mpenda watu ,
Majizi yote MUNGU HUYAACHA MUDA MREFU LABDA AU AWE KWA MAWE YA WANANZENGO
Corona inafanya balaaa
 
Kwani wewe kwenu pale bujumbura unatoka mtaa gani haswaa?
 
LOGIC MENTALITY

Senior Member
Mar 19, 2021
101
225
....MATAMUSHI..
Naona wewe ni mkimbizi haramu unayeishi hapa Tanzania kimakosa
Wewe ndiye mkimbizi yaani famili yako ikiguswa kwa sababu ilikuwa na mambo ya kijinga unataka kufanya kuwa jambo la kitaifa

Wajinga na wapumbafu na wezi kwa awamu ya tano ilikuwa spannet yao

Serikali pekee ambayo haikumilikiwa na kikundi fulani cha watu na matajiri tumeona wazi HUWEZI KUTUDANGANYA

WAPINZANI SIJAONA MCJANGO WAO TUNAITAJI MAWAZO MAPYA MAWQZO YA KINA MBOWE YAMEKUWA KELELE HUWEZI KUWA BORA KWA KILA UONGOZI

MBOWE AMEANZA MUDA MREFU AMECHOKA MBINU ALIZOTUMIA KWA JAKAYA NA CHADEMA IKAENDA JUU

HUWEZI KUZITUMIA MUDA WOTE AACHIE UENYEKITI WAINGIE WENGINE WENYE MAWAZO MAPYA

HUWEZI KUWA VIZURI MIAKA 20 MWISHO WAKE NI HUO SASA AMEKUFA KISIASA
 
Kwa taarifa yako hivi sasa tupo kwenye awamu ya 6.

Akili yako ikukae vyema maana habari za awamu ya 6 watanzania tushasahau sana awamu ya 6.

Ni muda muafaka sasa ukakubaliana na awamu ya 6.

Sukuma gang tupa kuleeeeeeee
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,978
2,000
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa mbunge wa CCM utanielewa nasema nini, na utagundua wale wanaomsifia "shujaa" wa kuchonga ni unafiki tuu au kutokujua na kujazwa propaganda kiasi kikubwa. View attachment 1976158

Mkuu unamjua dr kafumu na je unamjua vizuri Vicky na historia yake. Unapoamua kuandika uzi, jitahidi kufahamu background na why ya unachoandikia ?
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
43,540
2,000
Hawa ni mafara na wezi docta kafumu alikuwa fara sana ni fisadi sana hakuna alichokofanyia jimbo letu kafumu alistahili kufukuzwa chama

Chama kilikuwa na majizi hakuna mwizi anaweza kukaa na mwema ,
Lazima mwizi awe anajihisi tu sisi kwetu awamu ya tano ILICHOTUFANYIA TUNAIONA

SERIKALI YETU KIKWETE ALIIKABIZI KWA WATU FULANI
WALIKUWA HAWAGUSWI AWAMU YA TANO UTAWALA ULITUONYESHA KUWA WOTE TUKOSAWA

NYIE AKINA KAFUMU MLIZOEA SERIKALI KUIWEKA MFUKONI HATA KUCHANGIA KWENU ILIKUWA KWA KEJELE NA KUTETEA MAMBO YENU NDIO MAANA MLIKUWA HIVYO

MAFARA SIKU ZOTE HUWA WANATAFUTA MAMBO YAKO

SERIKALI YA AWAMU YA TANO ilitafuta watu wapya wengi sio mwendelezo wa serikali kumilikiwa na kikundi cha akina fulani saivi tunawaona wanarudi sasa ila nao wao walishajua hii nchi ni yetu sote

Hatuwezi kutengeneza serikali ya watu fulani tu nadhani KAFUMU ALIPATABALICHO STAHILI

KUHUSU WAPINZANI tunaitaji watu wapya sasa upinzani alioufanya mbowe mwaka 2007 ana akaeleweka umezoeleka sana hoja zao zote awamu ya tano ilizifanyia kazi
Rushwq ili kwisha sana , watumishi serikalini walifanya kazi vizuri,ccm ilijipambanua kila mtu siku hizi anaipenda ccm , kwenye madini tulubadilisha mikataba kidigo , kwenye michezo simba ilienda robo fainali mara mbili taifa STAR IKAENDA AFUCON,

MIUNDO MBINU ILIKUWA INAISHA KWA WAKATI ,ELIMU BURE , TOZO ZA WAKULIMA ZILIPUNGUA SANA , PEMBEJEO ZOTE WANAINCHI WALIPEWA BURE

CCM ILIBADILIKA SANA WANAINCHI NA MIGOGORO YA ARIDHI ILIPUNGUA SANA

UPIGAJI ULIISHA KABISA

SASA UNATAMANI NINI?

SAIVI MAMA ANAZUNGUKA TU NA NDEGEZA ZAMAA JE ?MBONA HAZIKUNUNULIWA VIPI VYOTE , TUMESHUDIA MELI ZIKIJENGWA TULENI YA KWENDA MOSHI NA KILIMANJARO MBONA HAZIKUELETWANyie kuweni makini sana HUYU JAMA YUKO KWENYE MIOYO YA WATU ANAISHI acheni polojo zenu wapinzani kwenye nchi hii hatujaona mchango wao hata kidogo

Wapigaji tu majimbo walio yakalia wameyaacha magofu

Mwamba amejitahidi sana naomba muache ujinga leteni hoja sio mnatetea matumbo yenu nchi kwanza sio matumbo

Kafumu hana lolote walikuwa wapugaji

Hizi propaganda mfu umeandika hapa ni bora ungekaa Kimya. Kibaya zaidi unaandika na kuchanganya herufi kubwa na ndogo. Sasa hata kama kuandika kwa usahihi huwezi,ndio utaweza kutofautisha propaganda zilizokuwa zinafanyika kipindi cha yule kiongozi muovu aliye motoni?
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,953
2,000
Lakini wapo walio fungiwa kwenye box na akili zao zimegoma kutoka humo pamoja na kuwepo upenyo wa kutokea.
Mfano halisi ni humu JF wapo wengi tuu, jee tuwataje labda watazinduka?
Wa humu ni misukule,hata ufanyeje hawawezi kuwa binadamu wa kawaida
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,903
2,000
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa mbunge wa CCM utanielewa nasema nini, na utagundua wale wanaomsifia "shujaa" wa kuchonga ni unafiki tuu au kutokujua na kujazwa propaganda kiasi kikubwa. View attachment 1976158

Kina johnthebaptist, Idugunde, Kamanda Asiyechoka, Elitwege, Jumbe Brown, mama D na wenzao watatokea kweli kwenye huu uzi?

Bila shaka wana u zoom na kujisemea - hiiiiii

Jamani eeh maendeleo hayana chama 😁😁!
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,332
2,000
Lowasa yupo ndani ya kiota chake ccm ambako ufisadi ndiyo sera zao.
Lowassa ni mtu safi....

Mlimchafua pale MWEMBEYANGA TEMEKE na mkamsafisha kwa dodoki baada ya yeye kupishana mlangoni na Dr Slaa akitoka nje.....

Mh.Mbowe "akabadili gia angani"....

Katika hili kunahitajika UKICHAA MKUBWA kumtetea Mh.Mbowe na CDM yenu......

#Siempre JMT
 
goodlif1600

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
508
1,000
Mh Lema aliposema kuwa wakimaliza wapinzani basi watahamia kwa wana ccm .

Lema unaweza kusema huwa anaongea na Mungu ingawa unaweza kuwa unakufuru.

Leo hii wana ccm wameanza kutema nyongo na ni haki yao maana nyongo ina kawaida ya kuwa sumu ikikaa sana mwilini.
Hata chadema wapo wenye vinyongo mkuu
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,307
2,000
Hizi propaganda mfu umeandika hapa ni bora ungekaa Kimya. Kibaya zaidi unaandika na kuchanganya herufi kubwa na ndogo. Sasa hata kama kuandika kwa usahihi huwezi,ndio utaweza kutofautisha propaganda zilizokuwa zinafanyika kipindi cha yule kiongozi muovu aliye motoni?
Huyu inaonekana haelewi kinachoendlea hivi kuna serikali iliwekwa mfukoni na waovu kama ya yule muovu aliyekufa? Hawa kina sabaya walikuwa wanafanya haya mambo huko kuzimu alipo??? Yule makonda alivamia clouds tuseme clouds ipo ahera mpaka asichukuliwe hatua yyete?
Makonda aliwachafua watu hata aliwahi kuwapelekea maji chooni kwamba wanauza madawa na leo ni wabunge tena hawakupitishwa hata kwenye kura za maoni mfno gwajima! Yule makonda alishathibitisha popote juu ya ushiriki wao kwenye hiyo biashara???
Yeye alihusika vipi na dawa za kulevya wakati mamlaka zipo???
 
Niza doyi

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
1,904
2,000
Watampendaje wakati aliwanyanghanya Mali za chama walizokuwa wamejimilikisha?
Usisahau Vicky alikuwa mteule wa Msoga gang,hivyo siyo rahisi kumpenda Mwendazake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom