Maovu hawakutendewa Wapinzani pekee bali na wao wenyewe

Mh Lema aliposema kuwa wakimaliza wapinzani basi watahamia kwa wana ccm .

Lema unaweza kusema huwa anaongea na Mungu ingawa unaweza kuwa unakufuru.

Leo hii wana ccm wameanza kutema nyongo na ni haki yao maana nyongo ina kawaida ya kuwa sumu ikikaa sana mwilini.

Lema alifirika kimawazo huwezi kuwa bora muda wote miaka 15 ya ubunge ni mingi sana hawa watu waliishia hoja maana yule jamaa alitekeleza mambo yote
 
Lakini wapo walio fungiwa kwenye box na akili zao zimegoma kutoka humo pamoja na kuwepo upenyo wa kutokea.
Mfano halisi ni humu JF wapo wengi tuu, jee tuwataje labda watazinduka?
Hao wengine hawawezi kutoka usingizini maana jamaa aliyewatoa ubongo wao alisha fariki
 
Mungu anatisha sana

Mungu ndiye mwenye mamulaka sana na wema huwa hawadumu

Siku zote MUNGU HUCHUKUA WALIO SAFI ANGALIA HATA YESU ALIISHI MIAKA 3.5 HIVYO TUNASHUKRU KWA UTUMISHI

JAMAA KANUNUA NDEGE , AMEJENGA BARA BARA , MELI ZIMEFUFULIWA ,UCHUMI WA KATI TUMEINGIA WANAINCHI WENGI SERIKALI WALIIUNGA MKONO KODI ZILITUMIKA KIHALALI

WEWE SHETANI ENDELEA NA MAPEPO YAKO TU
 
Mungu ndiye mwenye mamulaka sana na wema huwa hawadumu

Siku zote MUNGU HUCHUKUA WALIO SAFI ANGALIA HATA YESU ALIISHI MIAKA 3.5 HIVYO TUNASHUKRU KWA UTUMISHI

JAMAA KANUNUA NDEGE , AMEJENGA BARA BARA , MELI ZIMEFUFULIWA ,UCHUMI WA KATI TUMEINGIA WANAINCHI WENGI SERIKALI WALIIUNGA MKONO KODI ZILITUMIKA KIHALALI

WEWE SHETANI ENDELEA NA MAPEPO YAKO TU
Mungu daima uleta majanga ili kuondoa majanga
 
Kwa hakika kipindi cha awamu ya tano kilikuwa kipindi kigumu sana kwa watanzania wengi sio Wapinzani pekee bali hata ndani ya CCM. Ukisoma waraka wa huyu mama Vick Kamata Likwelile aliyekuwa mbunge wa CCM utanielewa nasema nini, na utagundua wale wanaomsifia "shujaa" wa kuchonga ni unafiki tuu au kutokujua na kujazwa propaganda kiasi kikubwa.View attachment 1976158
Vicky Kamata alifikiria kuzaa na Nzee ya … ni warrant ya kufisadi hii nchi Apendavyo!
 
Yule mtu alikuwa ni katili mno na bora tu kafa ingawa wote tutakufa.

Nilioona hili bandiko twitter nikabaki najiuliza wanafamilia wake wanajisikiake wakisoma mambo haya yaliyotendwa na mzee wao(Mwendazake)?
 
Mungu daima uleta majanga ili kuondoa majanga
Wewe Mungu hawezi kukuchua maana huna thamani kwake hakuna kizuri kinachodumu

Angalia wafutao Martin ruther junior,chacha wangwe, moringe sokoine , Raisi wa kwanza wa zanzibar , magufuli john pombe raisi wa wanyonge mpenda watu ,
Majizi yote MUNGU HUYAACHA MUDA MREFU LABDA AU AWE KWA MAWE YA WANANZENGO
 
Back
Top Bottom