Hata mwenye hiyo Ndoto kashindwa kuitafsiri amebakiwa na matamko tuHatuko serious, Ndoto ni za mtu mmoja
Nchi kama nchi bado haina SERA MAALUM YA KIUCHUMI kila mtu anakuja na lake tunataka kuwa nchi ya viwanda ndio viwanda vya aina gani ?Viwanda kwa umeme upi? kwa malighafi zipi? kilimo kilitakiwa kiwe kipaumbele then viwanda. unataka kutembelea wakati hata kusimama bado!
Tanzania ya mamagufuri imeshajenga zaidi ya viwanda zaidi ya 3000