Maonyesho ya Kijeshi siku za sherehe ni mambo yamepitwa na wakati na ni hatarishi

Silaha zenyewe wanazo tumia ni za wakat wa Vita kuu ya Pili ya Dunia, Pia Vita isha badilika sana ,nchi zinawekeza sana kwenye sayansi, mambo ya Drone, Cyberwar na kadhalika.JWTZ sidhan kama wana hata Maabara ya utafiti, make kama akili zao nao zinawatuma kujenga Frame basi hakuna kitu pale, wanajua kutafuta sifa mtaani kupiga raia
Silaha zinazoletwa ni za maonyesho.....hawezi kutia siri zao silaha mpya walizonazo...ingawa data za military wenye kuzitafutavwanazo kila nchi duniani na uwezo wake kivita na silaha walizonaxo....acha waonyeshe za zamani.....adui yako humjui leo jirani siku mkizinguana mnachapana.......
 
Ndo maana unakuta askari mwenye nyota zake ana uawa na dereva boda au bajaji.

Si wanaishi zama za kalee, lol,
 
Muislamu anasherehekea siku ya Mapinduzi Zanzibar, kwa maana ulifurahia yale mauwaji ya waislamu wenzetu, sijui tutaenda kujibu nini kwa Mwenyezi Mungu kwa haya mnayoyafanya!! Kwanini tunafanya kinyume na dini yetu!

Rais Mwinyi zinduka
Viongozi wa kiislamu tukemee huu upuuzi na kumtaka huyu kiongozi wa Zanzibar aiondoe hii siku, isiwepo katika kalenda.
 
Bora tuanze Kupeleka Wanajeshi Wetu wakajifunze mambo ya ground Kwa Hammas, Hauth &Taleban wale ni noma.

Shida hao IDF na wengine ni 🌈,kinachowafanya wa survive ni masilaha mengi vinginevyo hamna kitu.
Huo ndo ukweli aisee.. jeshi kama la Taliban huwezi kupambana nalo Kwa vita ya ardhini aisee!
 
Al Qasaam brigade ni jeshi kama majeshi mengine tofauti Yao na wengine ni kwamba wamekosa access ya kupata bahadhi ya silaha nzito kutokana na udhibiti wa Israel kwenye mipaka ila training zao hazina tofauti na wanajeshi wa nchi zingine tena inaweza kuwa zaidi
 
Afrika hapa hayo maonyesho hayafai maana ni aibu, yaachwe yafanywe na wababe wa dunia kule majuu maana wao ndio hutunishiana misuli na wana vifaa visivyotia aibu.
Kingine ikumbukwe nchi za majuu hutumia hayo maonyesho kutangaza silaha zao kwa wateja.
👍👏👌🆒
 
Dunia ya sasa watu wana works smart nasio hard kama kuvunja tofali na kichwa,

Hao wanajeshi wanaovunja matofali na kichwa kwanini wasiundiwe chama chao chakucheza Kickboxing, tukapata medani za dhahabu...
 
Tumeona leo huko zanzibar wanajeshi wakionyesha silaha, ujuzi na mambo mengine..

Hadi leo hawaja wahi eleza maana ya hii michezo, yaamkini baada ya uhuru miaka hiyo yalikua na maana.

Lakini leo ni kujichosha na kupoteza pesa za umma kusafirisha magari na vifaru hadi zanzibar..

Pili ni hatarishi kwa sababu tuna ji expose kwa kiasi gani tupo hoi au vizuri.. kuna adui wanaiogopa Tanzania wakidhani tupo vizuri pengine tuna kimbiza F 16 jets , wanakuja kuona tuna operate vitenge na vifaru vya mrusi vya miaka ya 50.

Ni vyema serikali ikaachana na haya mambo, pia siku kama hizi zitumike kwa mambo muhimu walau hata usafi na upandaji miti.

Siku kama ya leo ya mapinduzi inatumia zaidi ya bil 4 kiasi cha fedha ambacho kinaweza jenga km 4 za lami au hospitalu 2 za wilaya.

Wote tunakumbuka barabara ya morocco hadi mwenge ilivyo jengwa kwa fedha za uhuru.
Nchi ya kishamba sana hii,mm ningefurah sana kama maonyesho kama hayo yangekuwa yanaonesha zana za kijeshi ambazo sisi tumetengeneza kwa technolojia yetu ili wenzetu waone tulivyo na akili ya kiteknolojia cha ajabu tunaonyesha silaha za kizanani ambazo ulimwengu wa teknolojia umeziacha ndio tunaonyesha nchi ya kipoyoyo sana hii.viongoz hawajielewi kbs.
 
Back
Top Bottom