Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,110
- 18,328
Tumeona leo huko zanzibar wanajeshi wakionyesha silaha, ujuzi na mambo mengine..
Hadi leo hawaja wahi eleza maana ya hii michezo, yaamkini baada ya uhuru miaka hiyo yalikua na maana.
Lakini leo ni kujichosha na kupoteza pesa za umma kusafirisha magari na vifaru hadi zanzibar..
Pili ni hatarishi kwa sababu tuna ji expose kwa kiasi gani tupo hoi au vizuri.. kuna adui wanaiogopa Tanzania wakidhani tupo vizuri pengine tuna kimbiza F 16 jets , wanakuja kuona tuna operate vitenge na vifaru vya mrusi vya miaka ya 50.
Ni vyema serikali ikaachana na haya mambo, pia siku kama hizi zitumike kwa mambo muhimu walau hata usafi na upandaji miti.
Siku kama ya leo ya mapinduzi inatumia zaidi ya bil 4 kiasi cha fedha ambacho kinaweza jenga km 4 za lami au hospitalu 2 za wilaya.
Wote tunakumbuka barabara ya morocco hadi mwenge ilivyo jengwa kwa fedha za uhuru.