TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
wenzetu wa CCM wanasema kuisha kwa uchaguzi ni mwanzo wa chaguzi nyingine.
Ila kuelekea 2025 namuona mheshimiwa Majaliwa akikitwaa kijiti cha kuiongoza nchi kutoka kwa rais Magufuli.
Namuona ndugu yangu Bernard Membe akirudi nyumbani CCM.
Naliona anguko la CHADEMA na kuibuka kwa ACT kama chama kikuu cha upinzani, kikichuana kwa karibu na chama cha yule mzee wa ubwabwa.
Nawaona Covid 19 wakitakata Bungeni baada ya kushinda hoja za Mbowe.
Namuona Fransis Ndulane akila kiapo chake saaaafi kama waziri wa madini 2025.
Namuona Paul Makonda akirudishwa na JPM kuwa mkuu wa mkoa.
Maisha yanaenda kasi sana, tuombe Mungu atuwezeshe kuyaona haya.