Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

Maono yangu: Lowassa ameacha kura CCM

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,627
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
 
Haya we subiria atangazwe uone mafuriko tuone mtayazuia vipi....
UKAWA na Lowasa wameshapiga hesabu zao ndo maana wako pamoja
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.

Mi nadhani wewe ndio umepoteza maana ya kuelewa upinzani ni nini. Kumbuka ukawa sio branch ya ccm halafu wamempokea mtu mmoja aliyetoka chama kimoja kwenda chama kingine! Hii logic ya kusema imepoteza maana haina mashiko Lowassa ni kama mgeni tu kabisha hodi kafunguliwa karibu ukae!
Ifike point tukubali mambo yanavyoenda badala yake tuangalie outcome! kutoa chama tawala sio mchezo na style nyingi zipo applicable! Ukawa best of lucky dhamira yeni itimie .
 
kimya cha mzee lowassa hakina maana kuwa alikuwa usingizini
 
Tatizo ni maadili yake tu, wala siyo suala la kaingia lini kwenye chama...!
 
Mi nadhani wewe ndio umepoteza maana ya kuelewa upinzani ni nini. Kumbuka ukawa sio branch ya ccm halafu wamempokea mtu mmoja aliyetoka chama kimoja kwenda chama kingine! Hii logic ya kusema imepoteza maana haina mashiko Lowassa ni kama mgeni tu kabisha hodi kafunguliwa karibu ukae!
Ifike point tukubali mambo yanavyoenda badala yake tuangalie outcome! kutoa chama tawala sio mchezo na style nyingi zipo applicable! Ukawa best of lucky dhamira yeni itimie .

Lowassa akishindwa kwenye uchaguzi mkuu mtamlaumu nani?
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.

Aina shida. Sisi tutamchagua. Nyinyi bakeni na watu wenu. UKAWA tutampa kura atusaidie kumng'oa huyu mkoloni mweusi CCM. Mengine yote yatafuata baadaye
 
Lowassa akishindwa kwenye uchaguzi mkuu lawama zitaangukia kwa nani? Atabaki kuwa mwanachama wa chadema milele?
 
mtaji wa siasa ni watu.na mtaji wa ushindi ni watu so hapo kunahesabu zimepigwa hapo na faida imeonekana ni kubwa sana.
UKAWA peke yao bila kuwa na lowasa hakika walikuwa wanakinyima usingizi ccm maana tayari walikuwa na ushawishi mkubwa sana ukijumlisha na lowasa jinsi alivyokuwa na mashabiki ambao hakika watamfuata popote pale aendapo bila shaka huo ni mtaji mwingine mkubwa sana..

tena lowasa ndio mzuri kwa kuwa anajua vizuri sana mbinu za ccm.
 
Lowassa akishindwa kwenye uchaguzi mkuu lawama zitaangukia kwa nani? Atabaki kuwa mwanachama wa chadema milele?

Ndio atabaki kuwa mwanachama. Lakini hatushindwi uchaguzi mwaka huu. Mtashindwa nyinyi. UKAWA tumejipanga. Unapoenda kwenye mchezo unataraji kushinda. Km utashindwa napo sio mbaya. Lowassa keshaamua kuhamia CHADEMA na haji kurudi huko CCM tena. Ni sawa na Mansour Himid kule Zanzibar, yuko CUF, na hatarudi tena. The end justifies the means. Our aim is to uproot CCM, mengine yatafuata. Hata angeshuka Shetani madamu anatusaidia kuing'oa CCM madarakani, tungemuunga mkono
 
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Hivi wee wa wapi?!

Kama Zito amehama na baadhi ya wana-CHADEMA wachache waliokuwa wanamshabikia itakuwa Lowasa mwenye wafuasi kwa mamilioni!
 
Back
Top Bottom