OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowassa ameacha kura nyingi sana CCM hao watakaompigia ni wachache sana, wengi hawapo tayari kuiacha CCM na kuichagua Ukawa.
Mnasahau kinachaguliwa chama na sio mtu.
Ukawa wanapoteza kura za wale walioumia kwasababu ya vyama vyao. Ukawa wamepoteza maana ya upinzani, wale waliokuwa wanawaamini hawatawachagua baada ya kuona wamesalitiwa.
Hujui ukisemacho, kura za Lowassa zilizokuwa CCM watampa bila shaka..... Lowassa alijenga personal friendship na wanachama na sio kwamba walimfata kwa sababu ya nguvu yake kwenye chama....
Hii ni vita ya nje na vile vile ni vita ya ndani.... Trust Me ndani ya wanachama wa CCM Lowassa atapata zaidi ya kura millioni 3.5 out of millioni 6..... Ambacho msahau ni CCM kupata kura za Ukawa, hiyo ni ndoto kabisa....