Mkuu wangu CTO, naomba unipe darsa kidogo hapo kwenye RED!! You mean ile list ambayo inaoneshaga "seeding" or? If YES, what need 2b done ...deleting the items available in the list?Network speed matters! Configurations is second factor and finally number of seeders.
My votes to Deluge though not there!
Mkuu wangu CTO, naomba unipe darsa kidogo hapo kwenye RED!! You mean ile list ambayo inaoneshaga "seeding" or? If YES, what need 2b done ...deleting the items available in the list?
Torrent Protocol iko kama hivi.Mkuu wangu CTO, naomba unipe darsa kidogo hapo kwenye RED!! You mean ile list ambayo inaoneshaga "seeding" or? If YES, what need 2b done ...deleting the items available in the list?
Leecher hawana msaada kwako bali wewe ndio una msaada kwao!Yep seeder na leech wengi uifanya torrent idownload faster kuliko ile yenye seeder wachache
Client wako wengi sana. Kwa anayetumia deluge ninaweza share configs!Okay,itakuwa vema tupeane ujuzi how to configure these downloaders.
Inategemea huyo Leecher anakuzidi na percentage ngapiLeecher hawana msaada kwako bali wewe ndio una msaada kwao!
Leecher maana yake anafyonza toka kwako kwa hiyo always ana parts less than ulizo nazo!Inategemea huyo Leecher anakuzidi na percentage ngapi
Mkuu Ukiingia kwenye thepiratebay wanaonyesha idadi ya Seeder na Leecher inamaana hao leecher wanadowload kwako hata kabla ya wewe hujaanza? kwa uelewa wangu Leecher wanatofautiana kwa percent ya amount ambayo amedownload kama A ana 90% na B ana 50% B atakuwa leecher kwa A ambaye atakuwa ana seed kwa BLeecher maana yake anafyonza toka kwako kwa hiyo always ana parts less than ulizo nazo!
Iko hivi, unaposearch ktk file inaonesha leechers kama watu ambao wao wanapenda kufyonza tu hawapendi sharing. In that context seeders ni watu ambao wana hilo file na wako willing to share, leechers wanalo lakini hawako tayari kushare (wameblock seeding ktk clients zao).Mkuu Ukiingia kwenye thepiratebay wanaonyesha idadi ya Seeder na Leecher inamaana hao leecher wanadowload kwako hata kabla ya wewe hujaanza? kwa uelewa wangu Leecher wanatofautiana kwa percent ya amount ambayo amedownload kama A ana 90% na B ana 50% B atakuwa leecher kwa A ambaye atakuwa ana seed kwa B
Asante Mkuu NimeelewaIko hivi, unaposearch ktk file inaonesha leechers kama watu ambao wao wanapenda kufyonza tu hawapendi sharing. In that context seeders ni watu ambao wana hilo file na wako willing to share, leechers wanalo lakini hawako tayari kushare (wameblock seeding ktk clients zao).
The same two terms zina maana niliyoieleza hapo juu once unapoanza kudownload. So Context defines the meaning which is almost the same in both contexts.
More:
What are seeds and leechers (peers) in torrents?
Glossary of BitTorrent terms - Wikipedia, the free encyclopedia
What are "seeders" and "leechers" when searching Bit torrent files? - Yahoo! Answers
Torrent Protocol iko kama hivi.
A ana faili X liko 5% complete. B ana faili X liko 70% na C ana faili X liko 100% hawa watu wanashare faili kwa Torrent protocol. Kwa A hana msaada wowote kwa B, na C kwa kuwa parts za faili hilo alizo nazo walisha download tayari. Kwa hiyo yeye atakuwa anapakua toka kwa wenzake ilhali hachangii chochote hawa wanaitwa kwa lugha ya BTT Leechers (kupe).
B atapakua asilimia 30 zilizobaki toka kwa C na kutoa asilimia 65 zilizobakia kwa A. Kwa hiyo B ni kupe kwa C lakini mpanda-mbegu (seeder) kwa A. Na mwisho C hapakui kwa yeyote ila anawagawia wengine. Yeye ni mpandaji wala sio kupe. Kwa hiyo ukiwa na wapandaji wengi kuliko kupe utashusha vitu haraka kuliko kinyume chake
........Bit torrent 101 🙂
Yep seeder na leech wengi uifanya torrent idownload faster kuliko ile yenye seeder wachache
Hapa sasa sio tena BTT 101 Pajenakumbuka kama faili halianzi kudownload kistaili hiyo. ipo hivi na ndio uzuri na upekee wa torrents: inawezekana wewe ukawa na 60% ya faili na mimi nikawa nina only 20% , lakini kipande nilichonacho mimi wewe huna. hivyo unaweza kuchukua kwangu ijapokuwa wewe una % kubwa.
kwa mfano fail lina nyimbo track 1 to track 10.
mimi ninaweza kuwa nina track number 8 tu. lakini wewe ukawa una track zote kasoro 8......
not always. si sahihi sana hii. cha muhimu ni uwiyano au ratio ya seeders to leechers ndio muhimu. kwa mfano fail lenye seeder 15 na leecher 3 ratio yake itakuwa 15/3 =5 fail hili litakuwa faster ukilinganisha na
lenye seeders 50 na leechers 200 hii itakuwa 50/200= 0.4 hili litakuwa slow hatari
Mkuu Ukiingia kwenye thepiratebay wanaonyesha idadi ya Seeder na Leecher inamaana hao leecher wanadowload kwako hata kabla ya wewe hujaanza? kwa uelewa wangu Leecher wanatofautiana kwa percent ya amount ambayo amedownload kama A ana 90% na B ana 50% B atakuwa leecher kwa A ambaye atakuwa ana seed kwa B
Hapa sasa sio tena BTT 101 Paje
yeah. exactly....... nime assume sote tunatumia tigo.....same upload/download speedmkuu pia theory yako si sahihi labda tufanye other factor ziwe constant kama vile speed ya leecher na seeder ziwe sawa.
Kiuhalisia si namba ya seeder na leecher inayomata bali speed za leecher na seeder. Ngoja nikupe mfano.
Torren A ina seeder mmoja na leecher 1000 kimacho macho utasema very slow.
Kumbe yule seeder ana uploading speed ya 10mbps na leecher wote wana edge ya 10kbps. Hapa ina maana seeder mmoja anakamilisha mahitaji ya leecher wote 1000.
Anyway ni just assumption kiuhalisia ni vigumu kujua